Kuna mrembo kitaa huwa namtamani siku nyingi, ni kashombeshombe fulani hivi kazuriiii, wiki iliyopita nikabahatika kupata namba yake baada ya kunizungusha kwa mda mrefu. Jana jioni nikapanga...
Kuna huu utamaduni umejengeka kwenye jamii zetu eti ukiwa na mtoto mchanga ambaye bado hajaanza kutembea ukifanya mapenzi unambemenda au mtoto uliyemtahiri kidonda chake huwa hakiponi.
Kuna...
Wewe ni dereva wa masafa marefu, wakati mwingine miezi miwili huonekani nyumbani, mkeo naye mjasiriamali muda mwingi anakuwa kutafuta riziki, ma house girl nao ndio hivyo mara leo yupo mara kesho...
Habari wana JF
Poleni na majukumu ya leo, hongereni pia maana nyie ni wapamanaji
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu na siyo Mkeo/Mme tu hata anayetembea na girlfriend wako au boyfriend wako...
Miaka ya nyuma vijana wengi waliingia kwenye ndoa za mapema na waliweza kudumu nazo mpaka uzeeni kwa kila hali ya changamoto ya maisha na maendeleo walitatua pamoja.
Siku hizi ni kinyume chake...
Habari wanaJF
Nisizunguke sana, title inajieleza kabisa
Ukianza na mimi ni kama ifuatavyo;
1. Sitokuja kumwamini mtu tena
2. Take life too serious
3. Kujifananisha na wengine
4. Never judge...
Nimekuwa mgumu Sana kumruhusu mke wangu aninyoe nywele za chini ya tumbo kwa kutumia wembe wa topaz kwa mkono.
Hii inatokana na mawazo yangu binafsi kwamba pengine ataukata uume wangu uondoke...
Kwa nini wanawake wa kizenji wanaoishi Tanganyika wakipata ujauzito wanakwenda kujifungulia zenji? Nimechunguza majirani zangu kama wa tano(5) hivi ninaoishi nao jirani huku tandika. Nijuzeni wadau.
Jamaa yangu mmoja ni noma, ameanza kuchanganyikiwa maana bila mkewe kumpa kila siku anadai anaumia, analalamika, kaniuliza iama ina madhara kiafya nikamwambia hakuna madhara kisayansi ila sasa...
Dah! yaani jioni nimepumzika zangu baada ya mishe zangu, nimefanya ka usafi kidogo ghetto nina msosi wangu ready kwenye microwave, soda yangu baridi kwenye friji nimeoga safi najiandaa nicheki...
Mwaka 2015 nilikuwa na rafiki yangu tukifanya kazi kwa ushirikiano mkubwa sana alinizidi umri kama miaka 10 tulikuwa marafiki wa ukweli, alibahatika kuwa na mke ambae alinisimulia jinsi...
You cannot know every single details of your life, just because you know the last moment. We may face a painful day with trouble in our lives, but if we keep living in happiness just as we did...
Habari wana Jf,
Ni kweli yawezekana kukushangaza ila kila mtu aonavyo. Na kutoa msaada na ushirikiano kwa mtu si lazima pesa tu hapana bali kile unachoona kile chaweza msaidia katika maisha...
Habari za saizi wakuu
Kwa miaka ya saizi ukikosa hivi vitu nane huji kupata mrembo utaishia kuwasifia tu
1.huna pesa
2.huna kazi
3.hujui kupendeza
4.huwezi Ku fake life kama (kiduku lilo)
5.so...
Kuangalia sana Televisheni kunaweza kubadilisha muundo wa ubongo wa mtoto na hivyo kumletea madhara, kulingana na utafiti mpya uliofanywa na wataamu toka Chuo Kikuu cha Tohoku kilichopo katika...
Natumai hamjambo wananzengo.
Wakuu hizi zama ni za hovyo mno, imagine unamgegeda vizuri mke/mpenzi wako hadi anakusifia na kukuahidi hawezi kukusaliti but kumbe anakung'ong'a tu.
Jana yamemkuta...
Natumai hamjambo wananzengo
Wakuu wanaume wengi tumekua tukilichukulia poa sana suala la kupiga deki (kuzama chumvini) akati ni jambo muhimu sana katika ndoa/mahusiano ya sasa.
Imagine upo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.