Haka ka kasumba ninako mda mrefu kidogo, sijui huwa nakwama wapi.
Bwana kama mwanamke hayuko akilini mwangu nkimpiga saund naeza mpata hata siku hiyo hiyo. Ila Kama Dem namkubali, duuu balaa...
Nahamisha kambi kwa wazee wenzangu. Hii ni kutokana na ka usumbufu ninakokapata kwa hawa watoto (kwangu)
Heri nipambane na wazee wenzangu kwenye moja na mbili hukoo.
Ukinipinga pinga kwa hoja.
Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake wote...
Mimi ni kijana ambaye niko kwenye ndoa naelekea mwaka wa pili sasa. Kama kawaida kwenye ndoa kuna milima na mabonde ya kupitia, na pia kwenye ndoa kuna Raha na karaha. Ila kwa Mke wangu kila...
Habari wadau,
Naenda moja kwa moja kwenye hoja.
Nakumbuka zamani sana wakati bado yanki Babu na Mama waliwahi kusema kuwa kama mwanamke ana mimba na halafu zimebaki siku chache kujifungua ukaona...
Nimefunga ndoa na mke wangu, changamoto huja pale ninapo mshauri jambo ana panic na kubamiza mlango na kutoka nje. Huwa na hasira na kuwakawaka sana, yaani huwa ninajiuliza mimi ni dhaifu kiasi...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Ni tumaini langu kwamba wana JF mtakuwa mpo swalaama, hata mimi new member humu ndani ila ni new member kiusajili tu, naweza sema sababu nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa threads za JF toka enzi...
Natumai hamjambo wakuu
Jana nikiwa katika harakati zangu za hapa na pale nilikutana na dada mmoja matata wa age ya 27-30, nikawa nimemwelewa sana nikaomba tubadilishane contact akakubali but...
Kuna mdada alikutana na mkaka wakati wako safarini yule kaka akamuomba mdada namba ya simu njiani akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofika stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao. Basi...
Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa...
Kama tangazo linavojieleza, mimi nikijana mwenye umri wa miaka 28 nipo Mkoa wa Mbeya, Wilayani Chunya elimu yangu ni Degree ya Ualimu Physics and Mathematics, sijaajiriwa najishughulisha na kazi...
Tuambizane umeoana na mtu mpaka sasa mmeaminiana miaka mingi , halafu suddenly mtu anaushahidi kuwa mmeo ni anahusika na vitu vya kishirikina
Akakupa ushaidi na huo ushaidi unakuaminisha. Na...
Anahela nyingi ila unampa unataka ujiaminishie nini?
Anakudharau kisa unamhanya eti mapenzi yake ni matamu?
Unamuita majina ya mapenzi yote na wala hakufagilii, hadi lini lakini?
Hakupigii...
Natoa angalizo tu.
Siku hizi wanaume wanajisahau na akina mama wanachukua fursa!
Atajifanya anakupenda, atakuwekea chakula kwenye hotpot yako na wewe utaona anajali, kinachofanyika ni kwamba...
Natumai hamjambo wakuu.
Wakuu nimejikuta nina huu ugonjwa ambao hata sijui umetokea wapi, yaani nimejikuta navichukia vitu karibia vyote vinavyopendwa na wadada, mfano viepe (chipsi), matumizi ya...
Huu ni ushauri kulingana na mtazamo wangu.
Katika hili swali watu walio wengi hukosea pasipo kufahamu nini hasa hasara zake. Binadamu wengi sisi sio wakamilifu sana wala sio watenda mema sana...
Mabinti hawa huishi kwa CV za wazazi wao. Hawajui shida wala ku-hustle. Ewe kijana epuka mteremko maana tubinti hutu ni mzigo wa misumari kwenye ndoa.
**Ushauri:
I. Tafuta binti mvumilivu...
Nilikuwa na mwanaume tuliachana akanipa masharti ya kutomtafuta wala kumtumia message akidai ataziona mwanamke aliyenaye sasa na ilishawahi tokea nikatuma text kwake mwanamke wake akaanza kunipa...
Wakuu,
Amani iwe Nanyi, takriban Mwezi wa Tatu huyu Dada aungane na Familia yetu lakini kila siku zinavyoenda najikuta shetani ananiambia nimgegede, mbaya zaidi dalili zote zaonesha she is ready...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.