Nguvu ya ushawishi katika mapenzi

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wananzengo.

Wakuu leo napenda kuizungumzia nguvu ya ushawishi katika mapenzi, hapa kila jinsia ina nguvu yake ya ushawishi katika mapenzi hivyo ni vyema kila mmoja wetu akaijua nguvu yake ya ushawishi katika mapenzi ili aweze kuplay part yake vizuri.

Nguvu ya ushawishi ya mwanamke katika mapenzi ni mwili wake but kwa mwanaume nguvu ya ushawishi katika mapenzi ni pesa hivyo wanaume tuache kulialia tunapoombwa pesa coz ndio nguvu yetu ya ushawishi.

NB: Kama huwezi kugharamia ukaplay part yako ya ushawishi katika mapenzi wadada wazuri utaendelea kuwaita shemeji.

Ova.
 
Nguvu ya ushawishi kwa mwanaume ni ule uanaume wake hizo pesa ni kikolezo tu ambacho siku za karibuni kinapewa kipaumbele na wanawake wapumbavu na wavulana wajinga.
IMG_20200614_001418.jpg
 
Back
Top Bottom