Wanawake piteni hapa mjifunze mapenzi ya dhati

Wanawake piteni hapa mjifunze mapenzi ya dhati

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Wanawake hili fursa yenu mjifunze mapenzi yadhati sio mapenzi ya kupenda pesa kuliko kumpenda mtu au mwanaume anaweza akatokea ukapendana naye lakini kutokana na kutoeleewa dhumuni au jambo muhimu unajikuta unatumbukia kwenye ushenzi .Mwanamke ni pambo mumewe analitumikia kuona vipi au kitu gani kinampeleka aone umaridadi muhimu wa kuwa nao sio tu kukurupuka na kusema sema tu hovyo

Si kila mwanamke na mwanaume wote kwa pamoja mipangilio yao ya maisha inahusisha kulinganisha uwepo wa familia baina ya pande zote mbili wakati mwingine wanashikwa tu akili na majirani wabaya au wazuri kulingana na ukaribu wao wanaishi vipi nao.

Watoto wanathirika sana kama hakuna mipangilio yenye kuwafanya watambue zuri au jema kutoka upande wa koo zote mbili hapo matatizo yanapojitokeza unapata mtoto mtukutu hatulii shuleni yote hio kutokana na mwanamke kutokuwa na mapenzi ya kweli tangu mwanzoni
 
Nimejaribu kurudia kusoma zaidi ya mara mbili lkni sijapata kitu sahihi ulichokuwa unakimaanisha.


Ninaona Aya ya kwanza na pili imebeba vitu viwili tofauti.

AYA YA KWANZA

Unazungumzia mwanamke kupenda pesa kwa mwanaume,wakati huo huo unasema kuwa mwanamke ni pambo.mkuu ni pambo gani unalolizungumzia hapa ambalo halitaki matunzo?ikibidi kumhudumia mwanamke wako mhudumie aise...ukiona mwanamke anakutia gharama,piga chini fanya mambo mengine ya maendeleo.mbona mambo yako mengi yakufanya!!


AYA YA PILI

Hapa sasa ungesema kuwa ni vizuri kuchunguzana katika magonjwa ya kurithi ninyi kama wapenzi kabla hamjaanzisha familia hapo ningekuelewa.

Hivi jmni kuna mtu asiependa hela!au mi ndo sielewi??

Kuna tofauti kati ya kutumia mwili wako kupata pesa hiyo huitwa nipe nikupe na kuna ile hali uko na mpenzi wako,,hata ukae mwezi hajakupa unaona ni sawa tu💃Kwa kuwa huwa anakupa na anajua wajibu wake kama mwanaume kwa mwanamke wake.sasa mkuu wewe unazungumzia upendaji hela upi❓

Wanaume wachache huwa wanaelewa sana.hata kama mwanamke anakazi yake lkni yeye kama mwanaume lazima amkumbuke mpenzi wake hata kwa kidogo ajaliwacho hayo ndo maisha.na sisi wanawake tunakumbuka vitu hatakama mwanaume ataona kuwa ni kidogo lkni sisi huweka kumbukumbu vibaya mno.🥂🥂
 
Uko sahihi kabisa ila mboga bila viungo sio mboga na mapenzi bila pesa mmmmhh!
 
Back
Top Bottom