Mwanamke ukijua kujiremba na kupika ujue

Mwanamke ukijua kujiremba na kupika ujue

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Sasa unakuta mwanamke yupo bize na dressing table muda wote anajipodoa ila kupika zero

Mwanamke ana makucha marefu hayakati huo ni uchafu. Jifunze kupika, nenda YouTube ujifunze kupika chakula kitamu mumeo ale so unamtemegea housegirl

Unakuta mwanamke hawezi hata kupika vyakula common mfano ubwabwa ugali maarage na dagaa hata kurosti hajui

Jifunzeni kupika
 
We kwanza tafuta hela, vitu vidogo kama hivyo tulishafundishwa tangu wadogo.mambo ya Ku chukuwa ka mwanamke kamoja ukakatolea mfano haikubaliki.
 
Hizo hela atafute akupe wewe? Anaishije kama hana hela? Hizi kauli za tafuta hela Huwa za kimalaya malaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeua kabisa
 
Back
Top Bottom