Dah! Hivi kuna mtu hana uadui kweli?

Kwa hiyo umegombana na majirani zako kwa sababu ya maneno ya kuambiwa na mkeo au kuna sababu nyingine?
 
kwa jina la salam natumai hamjambo wakuu

wakuu katika maisha yangu nina kasumba ya kua busy na mambo yangu, napenda kuishi vyema na wanaonipenda pia kuwaheshim wanaonichukia, inshort sipendi ugomvi...

mara nyingi nikirudi home nakuta maneno mengi ya majirani kwa wife bt mi namwambia maneno hayaui puuza maisha yaendelee, sasa jana uzalendo umenishinda ikabidi nigombezane na majirani...

sasa leo nimerudi wife wamemwambia "kumbe mumen mkali hivo" kumbe lengo lao walitaka wanijue kua mi mtu wa aina gani.. nimeamini uadui katika maisha hauepukiki hata ufanyeje.
na ulivyokuwa unagomba na wanawake ulikunja vidole 👌👌👌👌👌👌👌😂😂😂😂
 
Kukaa kimya ni jibu zuri zaidi, kusemwa kupo tena sana tu utagombana na wangapi mbaya zaidi unakuta maneno yenyewe hayana ukweli

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Huo muda mnapataga wapi?

Mi huwa naweza kaa mahali hata miaka miwili na nikahama huku sijazoeana wala kuongea na jirani hata mmoja!
 
Back
Top Bottom