Nisaidieni kutatua hii changamoto

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wanajamvi.

Wakuu nina changamoto ndogo katika ndoa yangu japo sijaipatia ufumbuzi hivo naileta kwenu ili nipate utatuzi.

Ipo hivi, ninamke tangu nimemuoa hobi yake kubwa nikunifyeka msituni kwa babu kila unapokua bt yeye hapendi nifyeke msitu wake anadai anaona aibu.

Pale inapotokea nimefyeka bila kumshirikisha hukasirika sana, sasa najiuliza ni aibu gani anayonionea ikiwa kukoga na mambo mengine yote tunashiriki pamoja?

Mambo mengine yote yupo vizuri bt hili tu ndo changamoto, mi nilimwambia kama hataki nimnyoe basi kila mtu afyeke msitu wake bt napo hataki, sasa wakuu niitatueje changamoto hii?
 
Aisee Dunia simama nishuke mpaka kunyoana mavuzi watu wanagombania
Hahahaha Hahahaha daah hatar fayaaa
Hadi kuogeshana
tapatalk_1591379075690.jpeg
 
Jaribu kuwa mwanaume na baba wa nyumba hata dakika moja jombaa!! Unadiriki kutuadithia ukinyoa mavuzi mkeo anakasirika kisa haujaomba ruhusa au kumshirikisha kwenye hilo suala,then unaita hili suala ni changamoto.Kwa ujinga huu wa kumfanya mwanamke akupangie mambo madogo kama haya ndio baadaye mnakuja kupangiwa hadi muda wa kurudi kwako,kusaidia nani katika ndugu zako na hata lipi la kufanya katika maisha.Wewe ni kiongozi na baba wa nyumba.Kuwa baba acha utoto na hayo mapenz ya kiuanafunzi!!
 
Hii nchi kama hutatumia mabavu kuitawala haitawaliki
Angalia tu changamoto zinazoletwa, hii inapelekea kutembea na hela kwenye gari kuwapa kila wakikusimamisha

Aiseee
Khaa
Mbulaaa
Dakoloo
Ntumbasu gete
 
Jaribu kuwa mwanaume na baba wa nyumba hata dakika moja jombaa!! Unadiriki kutuadithia ukinyoa mavuzi mkeo anakasirika kisa haujaomba ruhusa au kumshirikisha kwenye hilo suala,then unaita hili suala ni changamoto.Kwa ujinga huu wa kumfanya mwanamke akupangie mambo madogo kama haya ndio baadaye mnakuja kupangiwa hadi muda wa kurudi kwako,kusaidia nani katika ndugu zako na hata lipi la kufanya katika maisha.Wewe ni kiongozi na baba wa nyumba.Kuwa baba acha utoto na hayo mapenz ya kiuanafunzi!!
Ndio tabu ya ndoa za watoto,
 
mkuu ungejikita kunishauri ingependeza maana huyu mke ana mambo ya ajabu sana ye anataka aninyoe bt yeye hataki nimnyoe hivo inapotokea nimenyoa bila yeye kujua hua anakasirika sana, nami hufanya hivo ili aone anachofanya kwangu si kizuri.
 
Simamia unachoamini,huo ndio ushauri wangu!!!
 
Back
Top Bottom