Unawezaje kutaka mahusiano na mke mwenzako na huku unamuibia mume?

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Kuna wanawake wanahatarisha maisha yao na kama wanaume ndio wanawashauri hivyo wakiwa huko mafichoni basi wamechemka

Mwanamke unakuwa na mchepuko na mume wa mtu halafu unatumia mbinu mbalimbali ili muwe kwenye mahusiano ya kishosti na mke wake ili asikushtukie au akujengee uaminifu au ety ikiwezekana akuzoeee kuwa mke mwenzake

Yaani kwa hili,napinga hayo mawazo ya wanawake,ukiwa mwizi kaa mbali kabisa na mmiliki akijua na huku unajifanya ni shost utakwisha

Mpaka wengine kama wana uwezo kiuchumi na kama familia ile ipo chini,ety mwanamke anakuwa anamnunulia vizawadi mwanake mwenzio,ukiuliza vya nini ety anadai wanataka wawe marafiki (shost)

Mwanamke mwenzangu ukiona hivyo ujue mume wako ni marioo kwa huyo mwanamke
 
Naanzaje ushost na mwenza🤣🤣🤣 unafiki siuwezi eti.

Hongera zao wenye ushost na wenza.
 
Kuna wanawake wanahatarisha maisha yao na kama wanaume ndio wanawashauri hivyo wakiwa huko mafichoni basi wamechemka

Mwanamke unakuwa na mchepuko na mume wa mtu halafu unatumia mbinu mbalimbali ili muwe kwenye mahusiano ya kishosti na mke wake ili asikushtukie au akujengee uaminifu au ety ikiwezekana akuzoeee kuwa mke mwenzake

Yaani kwa hili,napinga hayo mawazo ya wanawake,ukiwa mwizi kaa mbali kabisa na mmiliki akijua na huku unajifanya ni shost utakwisha

Mpaka wengine kama wana uwezo kiuchumi na kama familia ile ipo chini,ety mwanamke anakuwa anamnunulia vizawadi mwanake mwenzio,ukiuliza vya nini ety anadai wanataka wawe marafiki (shost)

Mwanamke mwenzangu ukiona hivyo ujue mume wako ni marioo kwa huyo mwanamke
Ila hii tabia si kwa wanawake tu hata wanaume wanayo tabia hii. Kwa kweli marafiki wengine tunapaswa kuwaepuka.
 
Kuna wanawake wanahatarisha maisha yao na kama wanaume ndio wanawashauri hivyo wakiwa huko mafichoni basi wamechemka

Mwanamke unakuwa na mchepuko na mume wa mtu halafu unatumia mbinu mbalimbali ili muwe kwenye mahusiano ya kishosti na mke wake ili asikushtukie au akujengee uaminifu au ety ikiwezekana akuzoeee kuwa mke mwenzake

Yaani kwa hili,napinga hayo mawazo ya wanawake,ukiwa mwizi kaa mbali kabisa na mmiliki akijua na huku unajifanya ni shost utakwisha

Mpaka wengine kama wana uwezo kiuchumi na kama familia ile ipo chini,ety mwanamke anakuwa anamnunulia vizawadi mwanake mwenzio,ukiuliza vya nini ety anadai wanataka wawe marafiki (shost)

Mwanamke mwenzangu ukiona hivyo ujue mume wako ni marioo kwa huyo mwanamke
Imeandikwa,
Adui mpende.
 
Mpende adui yako😂😂😂😂

Natania🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom