Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

Rafiki yangu kaiba mpenzi wangu

Umomi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
677
Reaction score
994
Kwanza nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniponya na hili janga weekend iliyopita. Mimi Kama kijana nipende kuwashauri vijana wenzangu kuwa waache pombe japo ni ngumu sana.

Weekend nilikuwa viwanja fulani nikipata K-Vant na kitimoto kwa vile huwa kuna nyingine naacha ndani basi nilikunywa kidogo tu. Halafu nikasepa geto kupiga mdogo mdogo.

Sasa kipindi nafika geto nikashangaa masela niliyopanga nao wanaanza kucheka sana. Nikauliza shida nini? Moja akajibu kwa kejeli sana kuwa unaenda kulewa wakati demu wako analiwa na mshikaji wa hapa hapa. Bila kuhoji nikachukua siraha nikaenda kusimama kwa mlango wa mshikaji. Aisee nikajaribu kufungua but alikuwa kafunga.

Nikampigia Dem sim nikamuulza upo wapi saiv? "Akanijibu kwani wewe inakuhusu nini" duh! Niliumia sana but ningefanyeje? Nikamwandikia sms ya kumtusi akanirudishia inasema "unalazimisha mapenzi na Mimi sikupendi" Niliumia.

Basi nikapiga fujo pale mpaka watu wakajaa make mtaa wetu Ni Kama uswahilini vile. Wakanishauri mpaka nikatupa zile siraha nilizokuwa nimeshikilia. Ilikuwa kisu, rungu na panga. Aisee baada ya kuzitupa msikaji katoka anajiropokesha na Mimi nilikuwa tungu sana. Nilimuotea ngumi ya shavu mpaka nikaona anatema memo. Akanikaba mpaka chini make nilikuwa nimekunywa pombe nyingi sana. Nikaona anaweza kunioshea sana nikabahatisha nyama ya kung'ata bana aise nimemng'ata mpaka nikatoa nyama.

Vita ilikuwa Kali sana ila sikuumia hata kidogo lkn mpinzani wangu nimemjeruhi sana sana nilipoona atanizidi nguvu nikatumia meno. Kuna kidole chake nikila chite. Na sehemu ya zingine mpaka kaenda kuoshwa hospital. Hapa najua muda wowote naweza kuitwa KITUO CHA POLICE
 
Tatizo anagongewa karibu na geto langu mkuu
Mkuu mimi iliwahi nitokea zamanii sana na alikuwa ni best yangu. Ila sikupigana bali nilibadili gia nikawa manzi nakula ila namchukulia kama malaya mpaka nilivyo pata mwingine ndo tukaachana.

Cha ajabuu na yule hawakudumu hata kidogo.

Wewe kama jamaa ni muelewa angekaa muonge na wapi ilianzia hadi kufikia huko.
 
Mkuu mimi iliwahii nitokea zamanii sana na alikuwa ni best yangu. Ila siku pigana balii nili badili gia nikawa manzi nakula ila namchukulia kama malaya mpaka,nilivyo pata mwingine ndo tukaachana.

Cha ajabuu na yule hawakudumu hata kidogo.

Wewe kama jamaa ni muelewa angekaa muonge na wapi ilianzia hadi kufikia huko.
Man tatizo Kuna mikwara sana
 
Una akili sana weye..
 
Umomi hebu toka nje hapo barabarani usimame kimya dakika10 tuu halafu uje utuambie umeona waschana wangapi wanaoweza kuwa bora zaidi ya huyo unayempigania!?

Wakati huohuo jiulize ingetokea umeenda kupigana ikatokea umeua au umeuwawa ungepata faida gani? Huwezi kusema eti ulipigana kuweka heshma kwa mwanamke asiyejiheshimu mdogo wangu, achana na hizo mambo kabisa
 
Umomi hebu toka nje hapo barabarani usimame kimya dakika10 tuu halafu uje utuambie umeona waschana wangapi wanaoweza kuwa bora zaidi ya huyo unayempigania!?
Wakati huohuo jiulize ingetokea umeenda kupigana ikatokea umeua au umeuwawa ungepata faida gani?
Huwezi kusema eti ulipigana kuweka heshma kwa mwanamke asiyejiheshimu mdogo wangu, achana na hizo mambo kabisa
@mama D nimekuelewa but ilikuwa n akili za pombe
 
Back
Top Bottom