Kwa wale waliomaliza chuo na clean sheets

snayper

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
302
217
Habari za asubuhi wakuu, niwatakie Eid mMubarak kwa waislam wote, bila kupoteza muda nije kwenye maada, je umewahi kusoma chuo mpaka ukahitimu bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi pale chuoni yaani ukatoka na clean sheet?

Binafsi kwa sasa niko mwaka wa mwisho na kuna kila dalili za kumaliza chuo na 4 clean sheets, yaani miaka yote minne sijawahi date na msichana yoyote hapa chuoni japo nina mahusiano mengine huko mtaani, ni kwa sababu wasichana wa hapa chuo huwa nawaona ni expensive, then wanaringa sana.

Kwa wale mliowahi kumaliza chuo na clean sheet ni changamoto gan ilikufanya umalize chuo bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanachuo?
 
Bila shaka unasoma course Ambayo wasichana hawazisomagi au niwachache saaaana na hawaeleweki kimuonekano
Waschana warembo wapo sema shida ni wachache kuliko wavulana, na huo uchache wao unawafanya waringe sana
 
Hisia zikiwa yabisi sana, maana yake unapingana sana na uhalisia.

Yaweza kuwa isiwe mahusiano pasee, ila hata night stand hakunaa...!!!

Ile kinase, kinasue kila mtu ashike lake na kesho mnakutana class kila mtu anafanya presentation yake mbele ya darasa makvu makavu kama hamjuani vile.

Sema miaka ile tulisoma tukiwa wakubwa, hivyo kunasana na kunasuana ilikuwa sehemu ya kuweka akili sawa ili kitabu kikae vizuri kwenye blangata.

Kasinde.
 
Back
Top Bottom