Nimeota nimepata mtoto wa kike, leo nakutana na taarifa hii

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,047
Wanabodi habari za jumapili,

Jana usiku niliota nimepata mtoto wa kike mzuri sana mama yangu mzazi akiwa amemshika akimbembeleza. Sasa leo hii asubuh napewa taarifa hizi kutoka kwa mpenzi wangu kuwa anadalili za kuwa mjamzito.

Me nipo tayar anizalie tatizo linakuja kwamba bado anasoma na home kwao mzee wake ni mkali sana hapa nipo dillema.

Na wish sana kuwa baba ,naona kama my dream comes true. Mnanishaurije hapo wakubwa mawazo yenu muhimu sana


IMG_5271.JPG
 
Back
Top Bottom