Shauku isiwe katika ngono tujuane kwanza

Shauku isiwe katika ngono tujuane kwanza

Mlundilwa Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2019
Posts
3,465
Reaction score
5,439
Wakuu mambo niaje.

Niende moja kwa moja katika mada, kumekuwa na mahusiano ya siri sana unakuta mtu kaanzisha mahusiano na binti fulani au mvulana fulani lakini mahusiano hayo ukute dada, kaka,mama, mjomba na watu wa karibu yake hawajui, mwisho wa cku kinachokuja kuwaumbua Mimba, hapo ndipo binti anamwambia mama au baba kuwa namimba ya fulani
Mwisho inaleta migogoro ya kifamilia pande mbili,

Nitoe kisa kimoja kilitokea miaka miwili iliyopita, kuna jamaa alianzisha mahusiano na binti fulani hivi mwenye asili kama mtu anaetokea pemba mwishowe akampa mimba yule binti ndipo akaiambia familia nimempa mimba binti wa kipemba

Mwishowe ndg wakatafuta watu wanaotokea huko pemba kuambatana nao ukweni ili kulahisisha kumchukua, wamefika kule wanaambiwa siyo mpemba

Wakaingia mitini na unaambiwa walijikoki mpaka kwa waganga ili wakasikilzwe na familia iwapende iwaone kitu kimoja hatimae ikawa ndivyo sivyo wakaingia mitini na ukiangalia dini ni tofauti

Mwenzangu na mimi ilibidi azalie nyumbani na ilileta migogoro ya kifamilia

Hivyo niwaombe vijana wenzangu tupeane muda wa kujuana shauku isiwe kwenye ngono

"Mapenzi hayachagui kabila,dini wala maskini"
 
Hapo kwenye kujuana ni Jambo zuri Sana, Sema huwa simshauri mtu kuoa au kuolewa sababu ya matokeo ya mimba, huwa Kuna shida mbeleni Kama hamkuwa na malengo ya kuoana.......pia umemaliza vzur mapenzi hayachagui ila kwa maisha ya Sasa Kama hakuna pesa hakuna mapenzi na Kama mnatofauti ya dini basi changamoto huibuka.
 
Toa papuchi wewe. Kujuana ndo makitu gani tena hayo. Toa mzigo watu wapige, atakaye nogewa Sana ndo atatoa posa. Cheza pata potea mwana kwetu. Wanaume wenyewe waoaji wako wapi siku hiz?
 
Toa papuchi wewe. Kujuana ndo makitu gani tena hayo. Toa mzigo watu wapige, atakaye nogewa Sana ndo atatoa posa. Cheza pata potea mwana kwetu. Wanaume wenyewe waoaji wako wapi siku hiz?
Atoe puchi tuimiche aache perepete shazi,,teh teh
 
Hapo kwenye kujuana ni Jambo zuri Sana, Sema huwa simshauri mtu kuoa au kuolewa sababu ya matokeo ya mimba, huwa Kuna shida mbeleni Kama hamkuwa na malengo ya kuoana.......pia umemaliza vzur mapenzi hayachagui ila kwa maisha ya Sasa Kama hakuna pesa hakuna mapenzi na Kama mnatofauti ya dini basi changamoto huibuka.
Kabisa mkuu
 
Toa papuchi wewe. Kujuana ndo makitu gani tena hayo. Toa mzigo watu wapige, atakaye nogewa Sana ndo atatoa posa. Cheza pata potea mwana kwetu. Wanaume wenyewe waoaji wako wapi siku hiz?
Me siyo ke mkuu ni me, ila inaleta migogoro ya kifamilia kumbuka.
 
Back
Top Bottom