Kwanini unachepuka?

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Embu tuambie hapa, kitu gani kinacho kufanya uchepuke kwa mpenzi au mme/ mke wako?

Mimi huwa nachepuka pale mpenzi wangu anavyo kuwa mbali Na mimi.
 
Aye umewahi kua na nauli tu mfukoni na huko unapoenda ndiyo kuna hela nyingine? Like saa hii nina 500 tu na ninaelekea sehemu kupeleka flash ili nilipwe 10,000. Ungeniona ninavyoilinda hiyo 500.
 
DC Wa Hapa Yupo Wapi? Unakaa Wapi? Una Choo
Hawa Wananchi Watakuwa Wanakuja Kujisaidia Kwako
Uwawekee Maji
😀😁😂😅😏😃🤣🤣✍🐄
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
DC Wa Hapa Yupo Wapi? Unakaa Wapi? Una Choo
Hawa Wananchi Watakuwa Wanakuja Kujisaidia Kwako
Uwawekee Maji

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kuna vitu vingine very funny...natamani kupata mrejesho kama kuna waliokwenda kupiga nyaa kwa DC
 
Back
Top Bottom