Nampenda Ila sijui pa kuanzia

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
I love her but I don't know where to start from.
Niliwahi kukutana na msichana mmoja mdada wa chuo wakati wa likizo ya corona mwezi wa 4

She's well behaved na anaonekana ni super smart sasa kumpenda nimempenda Ila I never approached any girl...

Sasa sijui nianzie wapi
Namba yake ya simu kanipa huwa tuna chat but sio vitu confidential ..??
 
I love her but I don't know where to start from....
Niliwahi kukutana na msichana mmoja mdada wa chuo wakati wa likizo ya corona mwezi wa 4

She's well behaved na anaonekana ni super smart sasa kumpenda nimempenda Ila I never approached any girl...

Sasa sijui nianzie wapi
Namba yake ya simu kanipa huwa tuna chat but sio vitu confidential ..??
naomba kujua ya fuatayo ili tukushauri vizuri
1. wewe una umri gani
2. Una level gani ya Elimu
3. Yeye anasoma chuo ngazi gani (Diploma/Degree?)
3. Unamuhitaji awe girl friend au unamuhitaji awe mke baadae mkikubaliana
 
Anza na kumwambi hivi....

Nakupenda sana(andika jina lake)naomba unifanye niwe wako hata kama nimewahiwa kwangu siyo tatizo.NAKUPENDA MUNO.

Namalizia na muamala usiopungua laki moja
 
Back
Top Bottom