Tupende kula bata na wapenzi wetu

Tupende kula bata na wapenzi wetu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,598
Reaction score
65,047
Kula bata na mpenzi wako au familia yako kuna raha sana. Na haiitaji uwe na pesa nyingi, bali ni nia tu.

Unaweza kufanya angalau mara moja kila mwezi kutokana na nafasi pamoja na kipato chako.

Unaweza kutenga asilimia 10 ya kipato chako kwa ajili ya kula bata na mpenzi wako au familia yako kila mwezi, na maisha yakaenda.

Sasa mtu unajibana kila siku, si wikiend si sikukuu muda wote wewe unatafuta tu; kumbuka familia yako au mpenzi wako naye ni binadamu anapenda kula bata. Tubadilike....
 
Asilimia 10 ya kipato huwa naiwahisha madhabahuni.

Tatizo hilo neno kula bata limekaa ki pombe pombe na maeneo ya bar au clubs.

.. inatosha kutoka kwende mafunzo ya biblia na familia au kutembelea ndugu na wahitaji nikiwa na familia. Si sheria, ni utaratibu wangu tu binafsi.
 
Wapeleke wakatoe tongotongo huko duniani....tunaishi duniani na tuyaishi ya duniani, ya mbinguni tutayaishi tukifika huko
 
Back
Top Bottom