Namwona mke wangu anavyonishawishi nichepuke. Namtizama nasema "Hiiiii"

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Wanawake sijajua kwanini sometime mnalazimisha mwanaume aanze kuchepuka.

Kadri siku zinavyoenda wife anapunguza mashamsham kabisa.Frequency ya games imepungua. Si mbaya ameongezeka uzito sana but anatakiwa a-maintain kiwango.

Style ambayo anaipenda sana kwa sasa imekuwa tu ni the death of cocroach. Akibadili ni mbwa kachoka.Anaitenga tu huko juu hewani yeye analaza kichwa hapo dk 10 unamsikia anakusihi umalize game hoi.

Ukimaliza hapo basi atalala kama chura aliyekufa barabarani choka mbaya yeye hachukui dk 5 ashamaliza na anaomba nawe umalize.

Yaani kila mara ni kama unacheza game ya kirafiki au kupasha moto misuli, ukikaza kidogo anasema umepania game utadhani unacheza na team pinzani cheza kwa afya tu.Hii slogan inanikwaza sana.

Amekuwa mvivu, styles kibao kwa sasa haziwezi anazikwepa. Mimi napenda kucheza game kwa formation mbalimbali. Sometime nashambulia sana, sometime natandaza kabumbu tu kuonesha ufundi,sometime nacheza kwa kujilinda.

Kwake imekuwa kama anaongeza uvivu, hili jambo last two weeks lilisababisha nikatafute mtani wangu wa jadi tucheze mechi ya mtani jembe just imagine sababu ni wife kuzembea.

Dada zangu mkiolewa si ndo mnaacha kupiga misamba, mnaacha kubinuka mnataka wanaume tushinde magoli kwa penalty tu na mipira ya adhabu, mnatenga goli mnaacha wazi ili tushinde game iishe.

Hiyo inapunguza raha ya game, mchezo unapendeza mnaposhambuliana na kutoana jasho siyo mtu anashika sehemu ya penalty makusudi afungwe kwa penalty.

Mtu ulikuwa unazungusha kiuno kama feni mbovu sasa kiuno dk tatu tu kimegota. Raha ya sisi wanaume ni kuona tumetoa kipigo angalau mara moja kwa week mpaka K imechakaa kipigo cha paka mwizi.

But kama kila siku tunatomasana tomasana na kupapasana hii inasababisha tuombe mechi za kujipima nguvu huko nje.mimi nmechepuka ila lawama zooote zinaenda kwa mamsap amenikosea sana.

Namcheki akimaliza anavyolala kama amekufa nasema 'Hiiii" natikisa kichwa naona kama ananitega nichepuke aje aseme wanaume wabaya, hawaridhiki n.k
 
Hapana dada yangu, ki ukweli mnachangia sana sisi kuchepuka, anachokisema jamaa yupo sahihi, navyokwambia mke wangu ana mimba ya miezi miwili sasa. Toka anijulishe kuwa ana mimba nikafurahi baada ya kurahia na yeye pia, amenipiga stop kwamba nisubirie mpaka tupate mtoto, najiuliza tukikutana kwa sasa ni dhambi? na the way anavyoongea yupo serious kabisa..kwa namna hii kweli kweli kweli?!! nimejitahidi kumwomba wapi yupo busy na lishe za vyakula tu. Kibaya zaidi kila ninapowaza kutafuta nje nahofia kumtenda Mungu dhambi coz ni mke wangu wa ndoa halafu ndo mtoto wetu wa kwanza lakini pia tumemtafua huyu mtoto kwa miaka sasa.

Nilimwomba basi hata tutomesane walau nipunguze hisia hataki hata busu, ukimshika anakuwa mkali balaa

Sasa Je, hii ni halali kweli???, Mkisalitiwa kwa namna hii ni dhambi?
Kwani mnaridhikanga basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa ni pointi 3, nyingine mbwembwe tu. Kwa hiyo hata goal moja latosha.
Kwa vile refa na uwanja ni wako unacheza rafu tu hata filimbi husikilizi. Ukiona timu pinzani inaelemewa unakuwa unacheza nusu uwanja, anapokuachia nafasi ufunge goal usifunge, piga chenga maeneo yale yale ya 18. Kile kimuhemuhe kitamfanya aanze kukaba kwa lazima, wewe hapo sasa unarudisha mpira kuleee ukaanze upya. Mwisho wa siku anaanza kufunguka na ndio utakapompiga goal la jasho sio free kick wala penalt. Utakuta mwisho wa mchezo GG zimetoka vizuri sana na ndio raha yenyewe, sio unamfunga mtu 7-0 (4-0) haa!
 
Hapo inabidi usali sana.maana ndo kwanza miezi miwili.na akijifungua ndo kabisa unaweza kaa miaka miwili hujapata game kiroho safi.maana unaweza uka bembeleza sana ukawa kama unaforce then ukapewa kwa shingo upande ukasusiwa tu.

Mi sielewi sometime wnawake kichwani wanakuwa na nini.

Back
Top Bottom