Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,011
- 25,351
Ukisika Super Brand SPISHI ndo hizi nyingine za kubumbabumba na Maabara... ..
Huku ni LIFTI ....LIFT Valeeee
Bonde la Ufa Tanzania lina siri nyigi kubwa vipaji vilivyo jificha Bakuu Mutembee muwone mambo...landscape ya nguvu na viumbe adimu ...Leo nimepiga kambi hapa BALANGIDA
Utalii wa ndani unarahazake...nipo hapa mnadani nyama za kuchoma ni wewe na kisu chako ...laga kama kawa wajasiliamali wakina mama watuwezesha wavumbuzi wa VIPAJI bandugu mteembee muwone mambo ....mambo ya KATESHI