Wanawake wa siku hizi mbona mmekuwa warahisi hivi? Mkishajua mwanaume ana kazi nzuri mnalainika

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
Juzi kati hapa nikiwa maeneo flani ya mjini nikiwa ndani ya usafiri wa Uber, nilishuka sehemu moja hivi ni duka la nguo, wakati nashuka kwenye ile gari dada anaeuza duka aliniona.

Nikaingia pale dukani nikaanza kuchagua nguo, yule dada akaanza kunisaidia kuchagua nguo huku akisifia nguo zake anazouza kuwa ni nzuri.

Basi nilipomaliza kuchagua nguo nikalipia akanifungashia, ila kabla ya kuondoka nikaona nijilipue nimuombe namba ili tuwasiliane zaidi. Hhaaahahahha! namuomba namba eti ananiuliza "Kwani wee unafanya kazi gani?”

Duuh! Nikaelewa anachotaka, nikamwambia kuwa mimi ni Msimamizi, Muangalizi na mwandamizi katika Uongozi wa Kamati ya Utumishi wa Umma, chini ya Wizara ya Ofisi ya TAMISEMI inayoongozwa na Ndugu Suleiman Jaffo

Duh! Alivyosikia huo nyadhifa alikimbilia pochi yake fasta akachukua simu Akaniambia niandike namba zangu, nikamwambia anipe zake nitamtafuta lakin akataka yeye ndio awe na zangu akiwa na hofu sitamtafuta.

Akaandika namba zangu kwenye iPhone yake fasta huku akitabasamu.

Tokea jana anasumbua balaa aseeee nimemuambia kwasasa nipo busy na vikao na kaniahidi Jumapili niende nikamtafune asee!
 
Ndio umekuja kutangaza hum usisahau kinga
Hahahahaa...
IMG-20190825-WA0008.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom