zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Yani kumuoa mtoto wa kishua shida ye amelelewa kwenye raha hajui kuhusu shida.
Wengine hata kupika hawajui ndo utaona. Ndiyo utashangaa wafanyakazi home anaajiri kama saba wa kupika wa kufua wa kudeki nyumba..
Coz hata kuperform house chores hawezi. Ndio pale ndoa inapovunjika kisa hayo matatizo...