Watoto wa kike hukumbuka nyumbani

Watoto wa kike hukumbuka nyumbani

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Umekuwepo mtazamo kuwa watoto wa kike pindi wanapojitegemea au kupata mafanikio hukumbuka nyumbani na kukumbuka wazazi wao lakini eti watoto wa kiume wakishafanikiwa na kujitegemea huwa hawakumbuki nyumbani kwao
Hivi ni kweli.

Mtazamo huu wa jamii
 
Ni kweli ila tambua wa kike wengi wana sauti siku hizi kuliko wa kiume (shuntama)
Vijana wengi ni marioo sasa anatunzwa atapeleka nn kwao?
 
Mtoto wa kike hukumbuka nyumbani baada ya kufikisha miaka 28 na kuona hakuna mwelekeo wala dalili za yeye kuolewa.
 
Back
Top Bottom