Ukiona mtu anatafuta mume na kusema, mume anatakiwa kuwa na miaka 35+ jua moja kwa moja anataka mwanaume aliyejipanga tayari kimaisha, ikimaanisha bibie anataka akija akute kila kitu tayari...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums,
Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili...
Wakuu bila shaka hamjambo!
Katika kazi yangu ya counseling nimekutana na cases mbalimbali. Kabla ya kuanza kutoa huduma huwa kuna hatua ya kwanza ambayo ni kuperuzi historia ya mteja (clients)...
Habari wanajamvini, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu yenu.
Embu twende moja kwa moja kwenye hoja, hivi wewe kama mume ndani ya nyumba yako, pindi mwenzako anapofanya tukio la...
Sio wote uliowahi kuwa na uhusiano na wewe ni watu genuine.
Wengine wapo kwa sababu zao wenyewe..
Kwa kua wizi wa Identity umeshamiri..
Nawapa tu reminder especially wale wenye mahusiano na...
Imagine umekaa miaka miwili ndani ya ndoa lakini mkeo hajashika ujauzito, siku upo na simu ya mkeo inaingia meseji kutoka kwa mtoto wa dada yake mkeo " Bibi (mama mkubwa wa mkeo) amesema huwezi...
Habari zenu?
Yeah, leo ninaondoka kwenda nje ya mji wa dar ninaenda mkoani kikazi na nitakaa huko kwa takribani wk 2.Kama msemo usemao,ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO,basi nimefanya uamuzi wakuset video...
Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu. Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).
Niliiingia ndani ya...
Natumai hamjambo wanabodi.
Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni...
Habari zenu wana Jf.
Naomba msaada wa mawazo
==========
Mchango
Mmii nina govi na sasa nina miaka 29. Nimesoma boarding skuls nyingi tu na mpaka sasa nimefanya degree na nipo kazini.
Kiukweli...
Habari za asubuhi WanaJF?
Leo nataka kujua ukweli wa hiki kitu, utamjuaje mtu mzinzi kwa kumwangalia machoni? Ushawahi kuitwa mzinzi na mtu asiyekufahamu kwa kukuangalia usoni?
Kwa upande wangu...
Kwa kauli hizi za machizi wa kitaa na marafiki
Kuhusu ndoa mbona itanichukua muda kuoa. Kwasababu wananiambia ndoa ni ngumu inakufanya uwe na stress inakuongezea majukumu mazito.
Uache uvulana...
Alisikika mke wangu baada ya maongezi mafupi.. nikamuuliza kulikoni unataka mtoto ghafla hivyo? Akaniambia nimetoka home mama akaniuliza vipI tayarI tumboni.. pia mashangazi wakaanza kuniambia mhh...
Kuna siku moja nilienda mkoa x kikazi, na katika timu niliyoikuta huko nilikutana na jamaa yangu mmoja nilisoma naye chuo miaka kadhaa iliyopita. Sikuwa na mahusiano naye ya karibu huko nyuma...
Nilijikuta tu si unajua mdomo kuteleza jamani
Mama mkwe kaja kanikuta nadeki bila hata kuomba dekio afute miguu
au hata avue viatu ndio aingie ndani, yeye akapita vile vile na maviatu yenye...
Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi.
Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi...
Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na...
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!
Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu...
TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU.
1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.