Hellow JF, natumai mko poa,
Tukumbushane kama ulishawahi kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, elimu, kipato n.k, watoto wa mjini wanasema ngekewa.
Mimi historia yangu ipo hivi! Mwaka 2012...
Habarini za majukumu wana MMU!
Mimi ni member wa JF napenda sana hili jukwaa ila sijawahi kupost chochote.
Kwanza kabisa mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa mjini, nimepanga chumba kimoja...
Wanabodi, wasalaam!
Ni muda kidogo sijaweka bandiko hapa, Mara nyingi nimekuwa msomaji wa nyuzi mbali mbali zinazowekwa hapa!
Twende kwenye mada! Nina jamaa yangu ana mpenzi wake, mwakani...
1. Anzisha mahusiano mapya kimya kimya ili uweze balance hisia na moyo wako kujiweka sawa na mwingine.
2. Punguza mawasialiano ili kutengeneza mazingira ya kuanza kuzoea bila yeye unaweza.
3...
Habari za muda huu,
Naomba kuuliza hii imekaaje X-Girlfriend wako kukueleza shida zake na kukuomba omba pesa wakati alikuacha mwenyewe. Je, ni sahihi kumtumia pesa huyu X wako aliyekuacha...
Niliwahi kuandika Uzi kuhusu kisa hiki.
In case hukupata bahati ya kusoma uzi huo then let me refresh ur memory.
Ni hivi nilifahamiana na Halima Hussein in 1995. I was 10 and she was 9. I was...
Napenda kupewa Elimu ilikuwaje wakachagua kidole cha kuvishwa Pete ya harusi na siyo vingine, pia kwa asiye na vidole labda kwa ajali au ugonjwa huwaje?
UKIMWI tu ama tupimwe magonjwa yote kabla ya kufunga ndoa?
Kwanini huwa hawapini kisukari, figo, moyo, vidonda vya tumbo, matatizo ya ini, matatizo ya akili na mengineyo yote?
Kwanini wasifanye...
Ila mimi kila siku nakuja hapa.Sijui kwa vile I'm young nobody comments. Sawa lakini kuwa mdogo haijalishi I'm socializing like other people
Nadondosha wasifu kwanza
Age: 19
Marital status...
Katika maisha yangu, nimejitahidi sana kujifunza masuala ya kujenga na kuimarisha mwenendo katika nyanja mbali mbali za maisha.
Eneo mojawapo ninalojifunza pia ni eneo la mahusiano ya uchumba na...
1.Dalili ya kwanza anaanza kupunguza mawasiliano na wewe taratibu na wewe .
2.ukijifanya unaongeza spidi ya kumtafuta ili muonane au mkutane anakwambia yupo bizeee
3.Dalili ya tatu ukijifanya...
Wakuu habari zenu,
Poleni na majukumu ya mihangaiko ya kila siku bila kupoteza muda niende kwenye mada husika.
Usiku wa kuamkia leo kumetokea tukio la kusikitisha maeneo ya Mbagala Rangi Tatu...
Natumai hamjambo wakuu.
Wanaume tunaumia sana tukijua/kuhisi kua wake zetu/wenza wamechepuka, maumivu haya kwetu sisi ni zaidi ya msiba coz hutufanya tufikirie labda hatujiwezi au hatuna thamani...
kuna sister mmoja tuna date miaka mingi sana kwa sasa.actually sija jibinafshia ni mtu ambaye huwa tunapohitajiana kwa matukio maalum tunatafutana na kuwezeshana halafu kila mtu anashika 50 zake...
Baada ya mimi kukataa kumbebea mkoba wake kama wengne wafanyavyo yamemtoka maneno mazito hadi ya wewe kama unanitumia niambie.
Sasa najiuliza maneno yote yametokea wap jameni
Anyway, mimi na...
Huu ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wanasaikolojia hapa nimecopy na kupaste
1. Mwanamke akigundua amekuzidi kipato kuna uwezekano mkubwa wa yeye kukuacha.
2. Mwanamke akibahatika kupata...
4 THINGS EVERY MAN MUST KNOW ABOUT A WOMAN BEFORE MARRIAGE
1) THEY LOVE COMPLIMENTS
It is wicked for your wife to put effort into her looks, taking care of you (and the kids) and making you...
Ndoa inajengwa kwenye msingi wa ukweli, uwazi na kuaminiana.
Ni jambo jema mke/mume kujua kazi yako, unapofanyia kazi na hata kipato chako, lakini kuna mambo ukiyaweka wazi tatizo litatokea...
Mahusiano n furahaa na amani. Mnamo MWAKA Fulani nikianza mahusiano na BINTI mmoja. Tulipendana sanaa mdawote akitakakuwa na mimi. Mnamo sikufulan niliomba TUKAE nae sehemu
Akaombaa atakuwa kwa...
Habari za muda mrefu wakuu wakazi.
Leo ningependa kushare jambo moja muhimu hasa kwa wanaume wenzangu, unajua kumbe sisi vijana wakiume tunapochelewa kuoa au kupata watoto huwa inawakwaza sana...