Mwaka 2021 nitaivunja ndoa yangu rasmi

Come on... hebu mswalie !!
Usikimbie tatizo.. kuvunja siyo suluhisho..
Kwani hata huko uendako au umfuatae mpya ni hivohivo!! Huko mbele kiza !!
Bora Uongee na Wazee/wataalamu/viongozi wa jamii.. ili mueleweshwe n mufaidike 50/50 win win situation!!
 
Fuatilia Uzi wangu humu ndani nilisha omba ushauli kuhusu huyu mwanamke Nita Rudi kuwapa mresho
 
Back
Top Bottom