Shemeji yangu aliyetangaza ukweni nimemtongoza leo anakuja mahali nilipo

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Wasalaam wananzengo

Ilikuwa mwaka 2016 pale nilipotembelewa na shemeji yangu ambaye wakati huo ndio alikuwa kwenye balehe maana mimi ni mtu mzima na tabia za vijana walio kwenye balehe nazijua.

Basi bhana wakati huo nami nimemtembelea wife manake tulikuwa tunaishi mikoa tofauti japo ya jirani Sana.

Sasa katika kuishi ishi pale yule shem wangu alikuwa analeta mitego ya ajabu ajabu ukizingatia ndio alikuwa ana balehe basi nahisi alikuwa anawashwa.

Sasa kwa kujenga heshima kwa dadake mi nikawa nampotezea potezea na sometimes namsifia sifia hadi pale nilipoondoka kurudi mkoani kwangu.

Huyu shemeji yangu ni mama mkubwa kwa mdogo na wife na wife alikuwa na bifu na huyo mamake mdogo, sasa baada ya huyu shemeji yangu kurudi kule Ukweni yani kwa mamake mkubwa akaanza kutangaza nimemtongoza, nimekaa nashangaa napigiwa simu na wife analalamika eti nimemtongoza mdogo wake, nikamwambia aache kutugombanisha.

Kama kweli nimemtongoza kwanini asikuambie mwenyewe wakati upo nae na mimi nilikuwepo badala yake anaondoka anaenda kutangaza kwenu.

Basi ilipofikia likizo wife akaenda kwao wakanipigia simu kuniuliza mbele ya huyo shem wangu kwanza hakuongea kitu, mi nikawapa shit kuanzia wife, mamake(mama mkwe) na huyo dogo hadi mamake dogo nikamwambia sipendi kunizushia habari za kidwanzi, nia yenu mnione mbaya ukoo wenu wote.

Sasa baada ya miaka kupitia leo nimesikia huyo shem wangu anakuja kumtembelea dadake, hapa najiuliza nimtimue asikanyage hapa kwangu(kwa sasa dadake na watoto wapo hapa mkoa ninaoishi) au nimpotezee tu nisubiri wamalize hizi sikukuu waondoke.

Manake nikikumbuka alivyonitangaza kwao alinidhalilisha Sana.

Ushauri wenu wadau.
 
Kwanza kwa maelezo yako hata kama hukumtongoza ulimuonyesha kila dalili unampenda, na ndio maana umekiri umewahi msifia, so kusema unamtaka haikuwa coincidence.

Kuja kwako sio sababu, unesha umekuwa na una familia, huwezi mwanqume mtu mzima ukawekeana kinyongo na kitoto maana ume declaire ni mdogo kwako. Bila shaka bado una utoto mwingi.

Hata uwezo wa kusema niliwapa shit familia nzima bado nmebaki na ???
 
Shida nashindwaga kuelewa maswala ya kutaja ndugundugu nimeishia hapo kwa mama mdogo sijui wife mara mama mkubwa!..
Tayari nishachanganya mambo hapo dah!
Am confused..😅
 
Mkamilishie lile takwa lake ulilompotezea, tena piga show ya kibabe akasimulie vizuri, haiwezekani ulishwe shombo tu wakati samaki yuko mezani.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Mkuu bado uko kwenye pause ya balehe? Nanii zaidi kati ya mkeo na huyo nduguye....waswahili wanasema nyota njema huonekana asubuhi, huyo demu alishakuonyesha kuwa ni mtu wa vituko kwako.....unataka tukushauri nini sasa?
 
Back
Top Bottom