Msaada tafadhali...

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Wakuu nimepatikana hapa yaani nilipata kademu fulani nikaona ngoja nipunguze lita kadhaa ambazo zilikuwa zinanielemea. Demu mwenyewe sio mzuri sura hawajapishana sana na Onyango yule beki wa simba!

Sasa kilichonisibu niandike uzi huu ni kwamba demu ameng’ang’ania ghetto nimejaribu mbinu zote za kumtoa hadi kipigo cha mbwa koko na bado imeshindikana kutoka.

Anachosema ni kwamba ni bora nimuulie hapo hapo ghetto kuliko kutoka maana anachotaka ni ndoa tu na mimi nilikuwa na hit &run tu!
Wakuu mawazo yenu tafadhali nimeshagandwa huku
 
Duh!,Kuna watu wanaoaga kwa namna hii,nkupe siri kama unatembea na demu mwenye umri chini ya 30 hakiksha unachukua mzuri maana lolote laweza tokea(niving'ang'aniz hawa watoto)
 
Vizuri vinaundwaa... Muunde mgharamikie hamna mwanamke mbaya alafu muoe
 
Hama gheto kaanzishe maisha sehemu ingine badilisha mawasiliano vitu mwachie atatimuliwa na kodi mbona simple tuu
 
Back
Top Bottom