mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Aisee pamoja na kasumba zangu zote lakini siendani na pombe ya aina yoyote. Yaani kuanzia harufu, muonekano, mlaji na mbebaji wake. (Watu wa gambe mtanisamehe[emoji120][emoji120])
Sasa huyu manzi nilitokea kumuelewa nikamtokea. Naye bila ya hiyana akakubali kiutani utani tukapeana ahadi ya kukutana.
Alinielekeza mahala niende. Nikajikoki kivita nikaenda zangu
Kumbe bana yule dada ni mnywaji mzuri tu. Nafika pale mahala namkuta yuko kaunta pale amekaa kwenye kile kiti kireeefu akipasha. Na nahisi masanga zilishaanza kumuingia vema kabisa
Dah
Almanusura nigeuze juu kwaju, lakini kwa heshima yake nikamfuata na kumnong'oneza sikioni kuwa NA KWENDA KUCHUKUA CHUMBA ANIFUATE, KWANI SIWEZI KUKAA PALE
Lengo la kuchukua chumba ni aje, ili nizungumze naye kuwa kwa hali ile nisingeweza kufanya chochote
Bwana bwana
Si akaja na chupa kama tatu hivi za pombe. Anakunywa huku anajiongeleshaa , anajichekeshaa. Dah nkasema hii leo too much.
Ikabidi tu nimwambie ukweli, alisikitika na aliomba radhi kwani hakujua kuwa mimi si mpenz wa tembo.
Nikamwambia asijali, ila hatutoweza kufanya chochote.
Kiukweli niliishiwa pozi kabisaa baada ya harufu ya mdang'a kunikolea ipasavyo. Nilianza kumchukia na kupoteza hisia naye kabisaaa. Huyo anayeitwa jongoo hakuwa na jeuri ya kututumka kamwe.
Baada ya kufika nyumbani nilijihisi bado nanuka maji. Nikaoga na kutafuta usingizi.
Hiyo ikanifanya nipoteze appetite na yule mdada kabisa yani. Na baada ya hapo nikampotezea mazima
Nilimuacha kwa sababu ya ulevi wake.
NB
NASUBIRI COMMENT HIZI[emoji116][emoji116][emoji16]
#Mitano tena
#Jf raha sana
#Asante kwa taarifa
#Wanaume tunapungua
#Dogo rudi shule
#Uzi tayari
#Basi sawa
#Nipe namba yake
#Ngoja waje
#siti ya kwanza