Mbona kila mahusiano ni wanawake tu ndiyo hutumia madawa kuwathibiti wanaume?

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Nimefuatilia story nyingi sana za mahusiano utaskia flani kamuacha mkewe sababu kafanyiwa madawa na mchepuko, au manzi yuko na flani anamchuna kwa sababu kamfanyia madawa, mama mkwe kamfanyia madawa mkwe wake ili asaidie upande wa ukweni.

Mbona siskii story za madume ambao wanafanyia madawa wake zao ili wawathibiti, au madume wanatumia madawa ili wazinase pisi kali za mjini.

Yaani ukikaa na ma manzi utashangaa jinsi wanavyoamini kwenye madawa kiasi kwamba utagundua kila manzi unayemjua mjini ana ustaadhi wake au mganga wake toka kijijini kwao ambaye anamtumia kwenye mahusiano yake na wanaume.

Ndiyo maana madume wengi tukishikika tunajikuta tunahonga sana kwa manzi zetu. Na siku tukiachwa ghafla tunapata maumivu mazito kupita maelezo, kumbe tunakuwa tumetiwa dawa mazee.
 
apo baadhi ya kina Marioo wanafanya haya hapa mjini ila asilimia kubwa ya majinamizi ya talaka ni kina Mama (visichana vya vyuo vikuu UDSM/UDOM), masista duu wa Bongo Movie na fleva, na vipashikuna vya Uswahilini.
 
mi nimesubiri kurogwa muda mrefu lakini sijabahatika kuwekwa kwenye kiganja na mwanamke, ...au haya mapombe yangu ninayojitwika inazuia madawa wakuu?....kuna jamaa yangu aliwahi niambia kuna uwezekano unarogwa na wanawake wengi matokeo yake uchawi unagongana wenyewe kwa wenyewe , inakuwa ngoma droo
 
Wewe mpaka wakuendee kwa mganga lazima utakuwa na uhazibandi material flani yaani una uwezo wa kuwatunza.
 
mi nimesubiri kurogwa muda mrefu lakini sijabahatika kuwekwa kwenye kiganja na mwanamke, ...au haya mapombe yangu ninayojitwika inazuia madawa wakuu?....kuna jamaa yangu aliwahi niambia kuna uwezekano unarogwa na wanawake wengi matokeo yake uchawi unagongana wenyewe kwa wenyewe , inakuwa ngoma droo
Wachawi hawapatani na harufu ya pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamke ndiye mwamuzi wa mahusiano kuendelea ama kusitishwa. Mwanaume hana chake kwenye mahausiano. Ndiyo mqqna imeandikwa mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake.

Kwahiyo mwanamke hufanya kila namna kuimarisha ama kuvinja mahusiano. Ikiwemo hiyo.
 
Mahusiano gani yanayozungumziwa hapa? Kama ni uboyfriend na ugirlfriend ni kweli mwanamke ni mwamuzi.

Kama ni ndoa, mwanaume ndio anaepanga muda, wakati na nani amuoe.
 
Mkuu mm nimesema mwanamke ndiye mwamuzi wa kuyaendeleza ama kuyasitisha mahusiano.

Nakubaliana na wewe kuwa mwanaume ndiye mwamuzi wa kuoana lkn siyo ktk kuyadumisha ama kuyasitisha mahusiano.
Vyote vipo juu ya mume, hata wanawake wanalijua hilo ndio maana huangaika kuzunguka kwa waganga.

Kama wewe ndio mwamuzi wa tuendelee yann kujisumbua kuroga? Si unaamua tu kama tunaendelea ama hatuendelei!
 
Kama wewe ndio mwamuzi wa tuendelee yann kujisumbua kuroga? Si unaamua tu kama tunaendelea ama hatuendelei!
Mwanamke anayeroga ili kuyadumisha mahusiano ana mapungufu kidogo ktk kutumia uwezo wa wanawake wa asili ktk hili.

Nkuhakikishia mwanamke anao uwezo wa kumbadilisha mwanaume chizi ktk mahusiano akawa ndondocha.

Lkn mwanaume hana jeuri ya kupindua tabia na matakwa ya mwanamke. Wanawake oyeeeee!
 
Wanaume wengi akili zenu mnazijua wenyewe unakuta jitu lina 50yrs linaenda beba binti wa 20-25yrs hapo anataka nini kama si kudhibitiwa kama bata anayetafuta pumba haaa haaa
 
Wapo wengi,wastani 1man=5girls.......
Sasa lazima kila abiria achunge mzigo wake...

#Mtazamo tu
 
Wanaume wengi akili zenu mnazijua wenyewe unakuta jitu lina 50yrs linaenda beba binti wa 20-25yrs hapo anataka nini kama si kudhibitiwa kama bata anayetafuta pumba haaa haaa
Tatizo wanawake wanazeeka mapema. At 45 yrs of age mwanamke hataki tena kugegedwa, maana ashaingia menopause na lubricant fluids zinaacha kushuka kwenye k.

K inakauka na kumfanya mwanamke kuikataa na kuicha ngono. At this age mwanaume ndiyo yupo fit kinyama. Anatamani ale uroda na wanawake 6 kwa siku.

Hii ndiyo maana wanaamua kuoa vibinti vya under 20 ili kupata mahitaji ya ngono.
 
Mwanamke anayeroga ili kuyadumisha mahusiano ana mapungufu kidogo ktk kutumia uwezo wa wanawake wa asili ktk hili.

Nkuhakikishia mwanamke anao uwezo wa kumbadilisha mwanaume chizi ktk mahusiano akawa ndondocha.

Lkn mwanaume hana jeuri ya kupindua tabia na matakwa ya mwanamke. Wanawake oyeeeee!
Kama umeolewa, pole kwa aliekuoa.

Kama hujaolewa, pole in advance kwa atakaekuoa.
 
Back
Top Bottom