Ukweli Usemwe: Hakuna Mwanaume mwenye mpenzi mmoja. Bado sijaona

Soyuncu

Senior Member
Nov 20, 2019
193
224
Fact ni kwamba wanawake wapo wengi sana kuliko sisi wanaume hata ukifanya tafiti ndogo kwnye hospitali zetu watoto wa kike wanazaliwa wengi kuliko wa kiume. Ndio maana dini nyingine zimeamrisha.

Mwanaume aoe mke zaid ya mmoja. Ila kivumbi kinakuja wanawake wenywe hawataki uke wenza ukianzisha hiyo mada hata kwa utani utasikia" ukioa mwingine talaka yangu iwe tayari"

So tafiti yangu ndogo niliofanya ni kwamba 97% ya wanaume wana mpenzi zaidi ya mmoja. Yeah ni ngumu sana kuwa na demu mmoja ngumu mno, sijui wanaume waliopo kwenye ndoa mambo yanaendaje? Sijui kwa kweli.

Binafsi nipo kwenye mahusiano na wadada zaidi ya 3 na wote pisi za uhakika na wananikubali kupita maelezo. Acha hawa wa HIT & RUN na ambao unawakataa kwa sababu mbali mbali. Kila mmoja ana gear yake kwangu ili nijue kwamba ananipenda. Mmoja anakataa kuolewa kisa mimi kila siku balua zinaenda kwao. Mwingine akija gheto yupo na kifurush cha nguo na vizawadi kibao + na Wivu mwingine wa kijinga jinga! Kapiga simu anaambiwa inatumika baadae anahoj ulikua unaongea na nan?. Usipojibu msg kwa wakat kesi.

Mwingine mara baby nimekumis dakika kadhaa muamala unasoma na text inaingia "jiandae tukutane sehemu X". In short nahongwa pia..bidada anatumia pesa kulinda penz lake mwingine akipga ananambia vip mama mzma! Nipe namba yake nimsalimie ( namkazia).

Yaani anafanya ivo Ili nijue jinsi gani anajali family yangu.

Sijawai kupigwa virungu sijui baby! Gas imeisha mara simu kioo kimevunjika! Mara kodi imefanyaje. Mara ich mara kile aah hapana aiseh. Labda inachangiwa.

Na jinsi ninavyoanza kutongoza. Nipo real sana sinaga show off huwa sijionyeshi kama nina nguvu ya pesa siku ya kwanza ku meet nae. Huwa sina haraka nao mmejuana jana kesho unamwambia njoo kwangu ( sio Wanawake wote wapo kama unavyofikilia wengine wapo smart sana kichwani). Ila baada ya muda kupita siku moja moja

Huwa najiongeza na vi zawad vya hapa na pale natafuta kitu Cha gharama nafuu na cha kawaida sana akikiona lazima anikumbuke.

Cha muimu kwa Wanaume jaribu kua smart vaa vizuli, kua msafi nukia vizuri ( manukato ya kiume) Acha Sigara narudia tena acha Sigara, kuwa flesh kimwili ( sex)..

Weka vizuri mwili wako kimuonekano ( fanya mazoez) Wanawake wanapenda vingi kutoka kwa Wanaume. Ila Kati ya hivo vitu 55% ni muonekano wako. Yeah jinsi unavyoonekana imebeba 55% ( physical appearance). The rest 45% ipo kwnye vitu vingine..

Onyesha kujali mpelekee ata box la pedi mwambie baby! Afya yako afya yangu. Mpe muda wako, Mpe uhuru na umueshimu.

Aah wadau mambo ni meng sana ngoja tuishie apa.

Kuna kiongozi mmoja alisema sisi Wanaume ni wa yeyote"

Nawasilisha
 
Siku zote huwa nasema kama mwanaume unahitaji kifo cha mapema ikiwemo kupata presha , msongo wa mawazo na kupooza. Jifanye kuwa na mpenzi mmoja. Utaishia jela au kufa au kuua.
Daaah yaani wew jamaa umeongea point sana......una elimu gani mkuu
 
Wanawake wenye akili ni kuanzia 28 age kwenda juu, chini ya hapo wengi hawajielewi hata kidogo.
Utakuta anadate na mwanaume hajui hata kwa nini.
Alafu hilo la 28 limepitiwa na more than 40 men's!
Ahahahaha! Fanya booking ya kabinti kana 19 kakifika 21 kaoe na ndio wazee wazamani walikuwa wakifanya.

Unaoa linungayembe lina 28 huko kwanini msiwe na ndoa ya ajabu au kuzaa matoto majinga
 
Back
Top Bottom