nimeamua kutoa zawadi ya kutafuta mchumba. Binti huyo asiwe na mtoto aliemzaa, awe na umri wa miaka kati ya18_23, awe na elimu kati ya 4m 4_diploma. Mweupe au maji ya kunde, sibagui kabila
wasifu wangu,mrefu ila sio sana wastani,brown colour sinakitambi,gari,mchizi wa mtaa,sina chapa naishi geto na godoro tu,breakfast kwangu anasa,ushishangae hata mchana siku nyingine napiga...
If you are out there looking for a serious relationship, please drop me a PM.
Age: 25 - 30
Color : Brown & Chocolate
Weigh: Average body weight
Tribe: NA:
Height: TBA
kwa niaba ya rafiki yangu naomba kuleta ombi hili kwa wadada wote
jamaa ana miaka 29
ni mfanyakazi
mrefu wastani
mweupe
amehitimu chuo kikuu
mkristo
anaishi dar es salaam
anatafuta...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani.
3. Mwenye degree au elimu kuanzia...
Dear ladies,
Im a man aged 25yrs, soft black. 5.6ft by height, self employed. Im looking for a girlfriend who we can move to another steps if God wishes, you can send a PM
hello jf
Nina miaka 27, kijana wa kiume, mkazi wa dsm , elimu yangu ni shahada ya uhandisi, mrefu wa wastani , pia mwili wangu ni wa wastani na rangi ya kunde.
napendelea mpira wa miguu...
Natafuta mchumba ambae within maximum 6months atakua mke wangu baada ya kufunga ndoa kwa harusi safi. Sifa; awe mweupe, mrefu, asiwe mnene na mwembamba sana, elim atleast form six au chuo, awe...
HABARI WANA JF!
MIMI NI KIJANA WA KIUME UMRI 28,NATAFUTA GIRLFRIEND MTOTO WA GATE KALI MAMBO SAFI UMRI 18-25,ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU NA KUENDELEA ,SIBAGUI RANGI,DINI WALA...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani.
3. Mwenye degree elimu kuanzia form...
God created the world in seven days ,It has been almost 25yrs now since i was brought to life by my sweet sugar mother.I`m always fascinated by the hidden mysteries of life and the purpose of life...
hello wana jamiiforum..mimi ni kijana wa miaka 28..nina elimu ya chuo kikuu...ni mkiristu...ni mrefu..rangi somehow black.
natafuta rafiki wa kike ili baadae Mungu akipenda awe mke wangu....umri...
Wa kuspend naye Tarehe 25/11/2012 mahali Bagamoyo kaole na fukwe za beach, mwingine tarehe 30/12/2012 mahali beach yeyote ya kigamboni tutakayo amua. 18/12/212 Mikumi national Pack na Tarehe...
Ndugu wana JF.
Naamini njia pekee ya kumpata mke/mme mwema ni kumshirikisha Mungu. Lakini imani lazima iendane na vitendo . i.e. lazima mtafutaji achukue jitihada za lazima kumtafuta huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.