Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
this is only for single ladies aged 20-25years, non-smoker, non-alcoholic, no kid not even attempted abortion, college level or more, independent, self motivated and faithful. On my side, 26years...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Habari wana JF.mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 34,elimu ya kidato cha sita,mkulima na mfugaji,maji ya kunde,mrefu,mkristo,mwelewa na mnyenyekevu,mpole,mpenda maendeleo kihalali. Msichana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nahitaji kuanzisha uhusiano wa kirafiki na mwanamke muislam umri usizidi 35 yrs,wagumba watapewa kipaumbele maana jamii inawaonea. Mengine negotiable, mawasilaiano ni kwa PM tu, na zote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar ndugu wanabodi. Mimi ni kijana wa kiume. Ninaishi arusha. (Kazi) mimi ni mjasiriamali kwa maana ya kujiajiri mwenyewe. Nilizaliwa miaka (25) iliyopita. Kusudio langu hapa natangaza nia ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Miaka 35 mpaka 40. Elimu kuanzia form six na kuendelea. Awe mfanya kazi au mfanya biashara halali. Awe mkristo. Anayejiamini kuwa yeye ni kichwa cha familia na mchapa kazi. Mimi nina...
2 Reactions
86 Replies
7K Views
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani. Dini yangu ni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi natafuta rafiki wa mawasiliano pamoja na kubadilishana mawazo popote walipo jinsi yoyote wote nawapenda by ngapu zenj. email.hii kassimyussuf@gmail.com na facebook hii...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Tumeanzisha Facebook Page yenye lengo la kuwapatia Watanzania popote pale walipo, fursa ya kujitafuta marafiki na hata wachumba ulimwenguni kote. Cha kufanya, like Page yetu hapa kisha utakuwa...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
wana jf nipo seliosly natafuta mcumba wa kuoa na kuanzisha maisha na mimi sifa zang:mnene kiasi kabila muhehe.umri wang ni miak25 sifa za anae tafutw: mweupe kiasi si wakujichubua.mwembamba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
yeyote aliyeko tayari kwa hilo bas tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
2K Views
.....
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana JF Habari zenu? Hivi hili swala la One Night Stand Mnalichukuliaje?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mimi nina miaka 26 nina degree yangu na nafanya kazi katika shirika moja la kimataifa huku kanda ya ziwa. Natafuta msichana mrembo wa haja mwembamba. My take hata mm ni mzuri so jitahidi uwe...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo: 1. awe muislam 2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani. 3. Mwenye degree elimu kuanzia form...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
mimi kijana wa miaka 32 mwenye elimu ya chuo na kazi natafuta mwanamke Wa umri huo aje tufanye maisha awe na kazi au biashara....dini muisilamu na siangalii urembo ila ajiheshimu...aliyetayari ani PM,
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Namhitaji 'Mwanamke' ambae anajitambua. Kuhusu future yetu, itakuwa ni mimi na yeye kujadili na kupanga how to go about it! Age is nothing but number! Muhimu awe 'anaejitambua' please ni PM!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Thanks All
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa muda nimekuwa katika uzi huu na kugundua kuwa ni sehemu ambayo inapitwa na watu wenye upeo mzuri juu ya maisha ya kila siku. Mimi ni mwanaume lijari ambaye nina mke na watoto wawili, nimepata...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Hlw,nipo Dar ninafanya kazi ktk organization inayodeal na women empowerment,nimemaliza chuo pale ifm nina degree ya banking and finance na ni mwanaume aged 27. Natafuta marafiki. Nitumie...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom