Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa nchini umri wangu ni miaka 28.Natafuta mchumba wa kuoa umri kuanzia 23-28,ambaye tutafahamiana na baadaye kuishi pamoja.Asiwe na mtoto,awe hajawahi...
nimechoka kuwa lonely japo nipate wa kuliwazana naye me ni kijana wa kiume miaka 24 ni mwanafunzi ktk chuo fulani hapa dar natafuta mwenzi wa huba kwa maelezo zaidi ni-pm nitajibu NB:ITS MORE THAN...
Mimi ni mwanaume nina miaka 30 napenda kuwa na rafiki yeyote aliye DAR ES SALAAM,dini yeyote,rangi yeyote,umri wowote,ila awe mwenye busara staki matusi pia awe ana uelewa na maisha asiye na...
Kwa mdada ambaye atakuwa huru kunipa kampani kwenye harusi ya rafiki yangu anakaribishwa sana. Harusi itakuwa tarehe 01/12/2012 Jumamosi, ukumbi giraffe ocean view hotel. Ni - PM.
Nimekuwa katika mahusiano kabla lakini mashua ya mapenzi ilipigwa na dhoruba kali na tulijikuta tumetenganishwa kila mmoja ng'ambo nyingine katika kisiwa cha maisha tofauti.
Nimekuja hapa...
A lady aged 32,mother of one son, single, never married. Employed and independent,religious neutral.
Looking for a single man to guide me, share life's joys and challenges with, have fun with...
kichwa cha habari hapo juu chausika.
ABOUT ME IN A NUTSHELL
umri ; miaka 32
elimu;university graduate
ccupation;emloyed and entreprenuer
home;kilimanjaro
Phisical;sportman size, good looking...
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina...
Thi is jamiiforums collectivize for all the peoples in the world. because of negotiations difference think. It is necessary to be rapture. we must to be comprehensible our messages .any time...
Naitwa Salimu, naingia tena uwanjani kumtafuta the real one(Mchumba), Nimechoka sana kuwa single jamani
WASIFU WANGU
Jinsia:Mwanaume
Elimu:Chuo
Umri:27 yrs
Mwonekano:Umbo la wastani, maji ya...
Habari wana jf,Mimi mr ngapu nipo zenj miaka yangu 33 mimi mfanya biashara nipo poa maisha poa napenda watu wote napenda kufanya ibada kusoma qur.an.natafuta mschana mchamungu pia miaka kuazia...
Natafuta mwanamke mwenye miaka 35 na kuendelea kwaajili ya mawasiliano ya kirafiki na kubadilishana mawazo. Mi ni mwanafunzi wa chuo, nasoma mlimani nipo mwaka wa 3. Kutokana na ugumu wa ajira...
Nahitaji mwanamke anaependa kudeka na kudekezwa na mwanaume tuu...only awe anajua kusumbua kwenye simu full time (msumbufu) anaependa kutumia mda mwingi wa (mapumziko chumbani baada ya kazi au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.