Looking For Girlfriend Living in United Kingdom (UK) Only:

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,011
23,380
Nimekuwa katika mahusiano kabla lakini mashua ya mapenzi ilipigwa na dhoruba kali na tulijikuta tumetenganishwa kila mmoja ng'ambo nyingine katika kisiwa cha maisha tofauti.

Nimekuja hapa jukwaani kujaribu bahati yangu nione kama safari yangu ilikuwa inatakiwa kuishia hapa.

Nitafurahi kama nitapata mwanamke aliye na vigezo vifuatavyo:-

- Mtanzania anayeishi United Kingdom (UK)
-Umri chini ya miaka 40
-Mrefu wa 5' 4"-6'0"
-anayependa kuwa katika mahusiano ya muda mrefu
-elimu kuanzia ngazi ya diploma
-Awe na mtazamo wa maisha ya ki-liberali
-Mpenda wanawake (bisexual)
-Mwenye vipimo vya STD's vya karibuni.
-anayependa pia kupata watoto hapo baadaye.
-Uzuri wa umbo na sura itakuwa ni added bonusKwa upande wangu:
-Jinsia: Mwanamme
-Ninaishi United Kingdom (UK)
-Umri wangu ni kati ya miaka 35-40
-Urefu wangu 5' 8"
-Sina Mtoto/Watoto
-Nina shahada ya Uzamili
-nimeajiriwa/kujiajiri
-nina maisha ya ki-liberali
-Napenda wanawake tu (heterosexual)
-Napenda kuwa na Mtoto/watoto hapo baadaye
-Napenda mahusiano ya muda mrefu.

Kwa yule aliye serious tuwasiliane kwa PM au barua pepe kwa anuani hii hbalaka@ yahoo.com
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,922
4,218

-Uzuri wa umbo na sura itakuwa ni added bonusKwa upande wangu,
-Ninaishi United Kingdom (UK)
-Umri wangu ni kati ya miaka 35-40
-Urefu wangu 5' 8"
-Sina Mtoto/Watoto
-Nina shahada ya Uzamili
-nimeajiriwa/kujiajiri
-nina maisha ya ki-liberali
-Napenda wanawake tu (heterosexual)
-Napenda kuwa na Mtoto/watoto hapo baadaye
-Napenda mahusiano ya muda mrefu.

Kwa yule aliye serious tuwasiliane kwa PM au barua pepe kwa anuani hii hbalaka@ yahoo.com
Hapo kwenye red pana utata..wewe ni he au she? kwa hiyo unataka lesbian?
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,801
24,508
Huyo Mungu nae ana kazi,huu uumbaji nao aliingia chaka. Angeondoa human race kikaeleweka tu!
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,938
9,716
Nimekidhi vyote na kupita ila sasa mimi si Lesbian, ni mwanamke wa mwanaume na ni kwa njia ile kutumia tundu takatifu tu na si 0713 (tigo). Ha ha ha unataka lesbian?? Wa kazi gani? Ata ku feel namna gani? Nao ni victim kama walivyo gays!! Kila wakati ataona motor (sex toys) ni bora kuliko wewe!!! Ha ha ha maisha kuna mambo!!
 
Himawari

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
2,590
1,638
Labda kwa nini unataka lesbian?! Je ana nini special ambacho huwezi kukipata kwa msichana wa kawaida?
Ukidadavua zaidi inawezekana ukaopoa vinginevyo mtafute tu yule wako wa zamani aliyekuwa anakidhi standards zako!
 
MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,802
3,840
Mmmh lesbian unahakika gani atakuenjoy wewe zaidi ya atakavyo..... au wewe utanufaika nini zaidi. Hebu tueleze raha mnayopata tusiyoijua
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,930
287,587
Hapo kwenye rangi Mhhhh! Kila la heri Mkuu

Nimekuwa katika mahusiano kabla lakini mashua ya mapenzi ilipigwa na dhoruba kali na tulijikuta tumetenganishwa kila mmoja ng'ambo nyingine katika kisiwa cha maisha tofauti.

Nimekuja hapa jukwaani kujaribu bahati yangu nione kama safari yangu ilikuwa inatakiwa kuishia hapa.

Nitafurahi kama nitapata mwanamke aliye na vigezo vifuatavyo:-

- Mtanzania anayeishi United Kingdom (UK)
-Umri chini ya miaka 40
-Mrefu wa 5' 4"-6'0"
-anayependa kuwa katika mahusiano ya muda mrefu
-elimu kuanzia ngazi ya diploma
-Awe na mtazamo wa maisha ya ki-liberali
-Mpenda wanawake (bisexual)
-Mwenye vipimo vya STD's vya karibuni.
-anayependa pia kupata watoto hapo baadaye.
-Uzuri wa umbo na sura itakuwa ni added bonusKwa upande wangu:
-Jinsia: Mwanamme
-Ninaishi United Kingdom (UK)
-Umri wangu ni kati ya miaka 35-40
-Urefu wangu 5' 8"
-Sina Mtoto/Watoto
-Nina shahada ya Uzamili
-nimeajiriwa/kujiajiri
-nina maisha ya ki-liberali
-Napenda wanawake tu (heterosexual)
-Napenda kuwa na Mtoto/watoto hapo baadaye
-Napenda mahusiano ya muda mrefu.

Kwa yule aliye serious tuwasiliane kwa PM au barua pepe kwa anuani hii hbalaka@ yahoo.com
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,801
24,508
Nimekidhi vyote na kupita ila sasa mimi si Lesbian, ni mwanamke wa mwanaume na ni kwa njia ile kutumia tundu takatifu tu na si 0713 (tigo). Ha ha ha unataka lesbian?? Wa kazi gani? Ata ku feel namna gani? Nao ni victim kama walivyo gays!! Kila wakati ataona motor (sex toys) ni bora kuliko wewe!!! Ha ha ha maisha kuna mambo!!

yeye mwenyewe ni victim tu vile vile! Hapo hesabu yake itakuwa threesome tu. Kama sio victim wa fantasy sex, watching galz dildoing.
 
SALOK

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
3,153
1,688
Kila mtu umemkoroga hapa hapa jamvini, hakuelewi na hueleweki, ni mtu wa namna gani wewe?
 
imaney

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
1,014
313
hata kama tunaambiwa kila siku tuembrace diversity hii kali,mnh....hapa umeingia chaka ungeenda kwenye yale madating site yao ungepata.....wa tz wengi wetu utamaduni wa threesome bado haujatuingia kwa hio its understandable huu mparakano uloleta hapa.
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,011
23,380
Nimekidhi vyote na kupita ila sasa mimi si Lesbian, ni mwanamke wa mwanaume na ni kwa njia ile kutumia tundu takatifu tu na si 0713 (tigo). Ha ha ha unataka lesbian?? Wa kazi gani? Ata ku feel namna gani? Nao ni victim kama walivyo gays!! Kila wakati ataona motor (sex toys) ni bora kuliko wewe!!! Ha ha ha maisha kuna mambo!!

Samahani kumbuka Kitanda usichokilalia huwezijua kunguni wake na ndivyo ilivyokama hujawahi kuwa na mapenzi ya aina hii.

Nani kasema Lesbian ni victim. Kama ndo hivyo basi kwa mawazo yako, every human is victim of sexual orientation.
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,011
23,380
Mmmh lesbian unahakika gani atakuenjoy wewe zaidi ya atakavyo..... au wewe utanufaika nini zaidi. Hebu tueleze raha mnayopata tusiyoijua

My dear, msingi wa mapenzi ni makubaliano na hakuna makubaliano yasiyokuwa na terms & conditions.

Openess ni condition muhimu katika mapenzi kwa sababu kama feeling hazipo basi bora kusema kwa mwenza kuliko kung'ang'ania penzi ambalo halina furaha ndani yake

Feeling katika mahusiano na bisexual ni pale unapopata exra bonus ambayo haipatikani katika mapenzi ya 'one dimension'.

Kama usivyoweza elezea raha ya utamu wa sukari, vilevile huwezi elezea raha ya haya mapenzi katika maandishi mpaka hapo utakapojaribu mwenyewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom