Hope si mademu wote wana company,namtaka mmoja kesho ila asiwe selective kwenye vyakula na vinywaji,napenda kitimoto so naye awe mtumiaji,napenda muziki pia
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 36,elimu ya chuo kikuu,mkristo, mrefu, maji ya kunde.
Natafuta binti ambaye atakuwa mpenzi wangu,mchumba na hatimaye mke.
Binti awe mkristo na awe...
vipi hali wana JF,niko Nairobi kenya na ningependa ku Skype na any single mature ladies from Tz, awe dem anajiheshimu sio wale wenye mambo ya kijinga kwenye internet, my Skype Id is mwishokileo
Peopleeeeeeeeessssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kumekuwa na mpambano wa chini kwa chini kila mtu kutaka kujiposition kwa Prisoner 46664 wazi wazi na kisirisiri!!!! Sasa Kujihakikishia ushindi...
Habari JF, mimi ninaitwa Colins ni mvulana umri wa miaka 27,nimehitimu degree ya kwanza pale Chuo cha Usimamizi wa Fedha mwaka jana na kwa sasa niko na kampuni yetu ndogo ya kuwasaidia wakina mama...
Habari zenu, Kwa mara nyingine najitokeza mbele yenu kuwafahamisha kuwa natafuta msichana mtulivu(anaehitaji kutulia kimapenzi) mwenye wasifu ufuatao; awe na umri wa kuanzia miaka 22-26, awe na...
Mi ni mwanaume miaka 34, mweusi, urefu 5.6ft,umbo si mnene wala mwembamba(wastani), Elimu chuo kikuu, mkristo(Lutheran), naishi Dar, natafuta mtu ambaye atakua mpenzi, mchumba mpaka mke kama...
Natafuta msichana wa ku-spend naye sikukuu hizi, yaani kuanzia tarehe 24 December, 2012 hadi tarehe 02 January, 2013. Sifa zake ni:-
Awe mrembo na wa kuvutia
Umri kati ya miaka 18 - 25
Asiwe...
mm ni mvulana umri 25, elimu yangu ni chuo certificate ya bussness... kazi mfanyabiashara. nipo arusha. nahitaji msichana ambaye atakuwa mke wangu awe na umri kuanzia 20 hadi 22, tabia njema...
WASIFU WANGU
miaka 28
ni mfanyakazi serikalini
mrefu wastani
mweusi kidogo
mhitimu chuo kikuu
mkristo rc
natafuta mwanadada any colour,,mfanyakazi mkristo, mrefu wa wastani, umri usizidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.