Mwanamke anae hitaji kudeka.

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
225
Nahitaji mwanamke anaependa kudeka na kudekezwa na mwanaume tuu...only awe anajua kusumbua kwenye simu full time (msumbufu) anaependa kutumia mda mwingi wa (mapumziko chumbani baada ya kazi au weekend) anahitajika sichagui langi wala umri.
Mimi ni mvulana mrefu maji ya kunde.....nataka ni spend full time...mimi sio mpenzi wa ku club japo siku moja moja napenda kwenda band kama fm na akudo na njenje.
Ni PM ukivutiwa na mimi tu spend coz rafiki wa kweli wa mwanaume ni mwanamke mnaeelewana kiushauli na mipango.
 

Neylu

JF-Expert Member
May 28, 2012
2,943
2,000
Maisha haya kuna kudekezana kweli? Mmmh.. Full time nakusumbua kwenye simu sina kazi nyingine za kufanya?? Hahahaaa... Usijali utampata tuu..!!
 

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,812
2,000
kazi zinaendelea kama kawa wewe tuu.......lol
hahaha kama hujui kudeka usisogee karibu kabisa sihitaji stress...lol hahahahahah
Aisee ukiwa utanipatiaga vocha, nitakusumbua bila tatizo...wasemaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom