Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ndugu zangu mm niliandika tangazo la kuitaji mchumba,kiukweli nasema kupitia JF nimepata mchumba mzuri sana,ASANTENI.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nataka kuoa, nina miaka 32, natafuta mtu wa kusaidiana naye maisha. Nina watoto 4, mmoja wakiume wa 3 nilizaa nikiwa chuo tena field, huyo mwingine kazaliwa ana mwaka sasa, ila hao niliozaa nao...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nipo Rungwe Mbeya.. Ni mrefu 5.6ft, Majiakunde, Mwembamba, Umri28, Mwiislam(sitoweza badili), Mhehe, Elimu shahada1 ya elimu.. MWENZANGU AWE. Umri 22-25, Urefu kiasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni dada naishi na kufanya kazi Dar es Salaam, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu, mkweli, mwenye hofu ya mungu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Nina miaka 23, Nipo Shinyanga Elimu yangu ni kidato cha sita ndo nimemaliza siku chache zilizopita. Natafuta rafiki wa kike,ambaye kama tutaelewana kwa baadae tunaweza tukafanya makubwa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Marafiki wa kubadilishana nao mambo mbalimbali. My number is 0766818308
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nina miaka 49 nina mke na watoto 3. Nataka rafiki kati ya miaka 30-45. Awe mstaarabu na kujiheshimu. Asiwe na marafiki wengi wa kike. Mzuri kwa sura na umbo. Awe maji kunde au mweusi. Elimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kijana mtanashati na niko vizuri kunako bed, my age 27,natafuta mwanamke wa kuoa age between 32-40. Mimi nipo Dar,Warembo karibuni.
1 Reactions
34 Replies
5K Views
I'm easy going. I love laugh and enjoy life. I'm not perfect but I have a great personality. I'm looking same person. . someone as a friend probably a best friend to talk to n share stuff and...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
awe ni mwanamme mwenye kazi,asiwe mlevi na awe mcha mungu
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mainly awe wakike, na awe mkazi Moro mjini au Mbeya the one who is already anipm au tembelea [email]esiwiti@gmail.com[/email
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo Dar es Salaam natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26. Awe anajitambua, awe tayari kuishi na mume, awe mzur wa sura na umbo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
0765832393 / 0689606070 / 0719858445
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Wadau! Baada ya kuzinguliwa ukweni kwamba nimechelewa kupeleka posa, nimeamua kutafuta mwanamke mwingine, Mimi ni mwanaume, mfanyakazi, nina umri wa miaka 28, elimu yangu ni degree, Natafuta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imefika kipindi muhafaka katika maisha yangu kuwa na mtu ambaye tutaanzisha familia hapo baadae sina maneno mengi kwa msichana aliye tayari naomba tuwasiliane. Na ingekuwa vizuri angekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeamua kufunguka na kuweka hii adharani jamani! natanfuta mpenz mwenye upendo wa dhati, na aliyetulia na mwajibikaji na mwenye kumpenda mungu na kumwofu!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume umri 28,kama kuna mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea na hana mume basi ni PM.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana MMU? Nina umri wa miaka 25, nina urefu wa futi 6, rangi maji ya kunde, dini yangu mkristo. Ninayemuhitaji, awe MWANAMKE mwenye kimo kama au kinachokaribiana na changu (yaani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Mimi ni msichana ambae niko single, natafuta mwenza ambae yuko siriaz, najua wengine watanidhihaki, wengine watasema mtandaoni si mahala pake ila mimi nina amini mapenzi popote...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mjasilia mali,mnyamwezi mama mpale:yeye awe anashepu nzuri,maziwa yaliyo simama,dini yoyote,form 4 na kuendelea,ni PM. Mimi Ni mrefu,maji ya kunde,si mnene,form six.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom