Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
Kijana mtanashati na niko vizuri kunako bed, my age 27,natafuta mwanamke wa kuoa age between 32-40. Mimi nipo Dar,Warembo karibuni.
lols. hahahah
Njoo nikuoe mara ya pili huny
nasikia kuitwa huku...King'asti waaaaaaiiiiitwaaaaaaa!!!!!!!!!!
Muandishi unaweza kuoa mwanamke kichwa? ???!!!?!!
Huyu naona atakuoa wewe aseee!!!!!
Ngoja kama haujaresitishwa in pisi milele utaona.
Naomba nieleweke si king'asti huyo wa jf, hapa namaanisha "Mpenzi (Mwanamke) anaye nizidi umri."Ulivoandika hiyo heading utafikiri king'ast huyu wa jf. Rekebisha hiyo heading waweza kuta unakuwa deleted kabisa, maana ban haitakutosha.
Kijana mtanashati na niko vizuri kunako bed, my age 27,natafuta mwanamke wa kuoa age between 32-40. Mimi nipo Dar,Warembo karibuni.
Naomba nieleweke si king'asti huyo wa jf, hapa namaanisha "Mpenzi (Mwanamke) anaye nizidi umri."
nasikia kuitwa huku...
Ni proposie ki Maasai. Wanafanyagaje?🙂
Wewe ndie king'asti ama unaemtaka ndie king'asti?
baba watoto, hebu achana na wehu hawa. please confirm zile hotel bookings za brazil tusije tukakosa pa kulala. niko kwa fundi nakuchongea mawani ya mbao manake nisije kukupea talaka ugenini
unapewa ng'ombe kama 200 hivi ukawachunge wiki nzima na uwarudishe bila kupoteza hata mmoja. uthijali ntakusindikiza.
Cc OLESAIDIMU
hahaha rula karibia inavunjika hii!
mmh, wewe unatafuta mlezi! una umri wa miaka 27, unataka mke mwenye miaka 40? unatafuta wa kukulipia masters hehehe!
OLESAIDIMU, unanitafutia nini maneno kwa paw na nnapelekwa brazil mwenzio kuangalia kombe la mbuzi?
Naomba nieleweke si king'asti huyo wa jf, hapa namaanisha "Mpenzi (Mwanamke) anaye nizidi umri."
Kaka unaongea kwa huruma kweli yani !
Kama paw ana Rocket ronger !
Ni proposie ki Maasai. Wanafanyagaje?🙂