natafuta mchumba

Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
awe ni mwanamme mwenye kazi,asiwe mlevi na awe mcha mungu

Dada mimi nina kazi mshahara wangu milioni 2 na laki 5,nina nyumba,nina magari mawili,sinywi pombe alafu nategemea mwakani niwe kama Antony lusekelo.ni pm mawasiliano yako.alafu sina ukimwi.ukinipenda mwezi wa 7 tunafunga ndoa.
 
jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,394
2,000
Mkuu humu kila mtu ana wake sasa wewe sijui umetokea wapi!au mtaan kwenu ni madume tupu?nenda sudan(darfur)utapata huko..loading error...
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,553
2,000
Dada mimi nina kazi mshahara wangu milioni 2 na laki 5,nina nyumba,nina magari mawili,sinywi pombe alafu nategemea mwakani niwe kama Antony lusekelo.ni pm mawasiliano yako.alafu sina ukimwi.ukinipenda mwezi wa 7 tunafunga ndoa.

Lol....
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,646
2,000
awe ni mwanamme mwenye kazi,asiwe mlevi na awe mcha mungu

unataka kuoa/kuolewa na mwanaume mwenzio??!! michango yako inaonyesha wewe ni mwanaume. halafu post zako za ajabu ajabu.
kuna moja ulikuwa unatafuta tindikali....ingine ushapata tindikali....baada ya kupata tindikali kuna member unataka kuonana nao....sijui unataka kuwamwagia hio tindikali??! jamani kuweni makini na huyu mtu anawazingua tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom