EXPENSIVE ONE
Member
- May 25, 2014
- 8
- 2
Nimeamua kufunguka na kuweka hii adharani jamani! natanfuta mpenz mwenye upendo wa dhati, na aliyetulia na mwajibikaji na mwenye kumpenda mungu na kumwofu!
Expandables........we Wakike au Wakiume? Kila la kheriii
Nimeamua kufunguka na kuweka hii adharani jamani! natanfuta mpenz mwenye upendo wa dhati, na aliyetulia na mwajibikaji na mwenye kumpenda mungu na kumwofu!
Weeh tulia tuu best, humu kupata ni vigumu sana sana utaishia kuzinguliwa tuu pipo don want their tru identities to be known here ila sikuvunji moyo, mapenzi yanakuja yenyeweee hayakimbizwi they say "luv is lyk a butterfly stop chasing it, stand stil it wil come to u".
Nenda kasimame na pipi lango kuu la shule yeyote ya primary
weeh tulia tuu best, humu kupata ni vigumu sana sana utaishia kuzinguliwa tuu pipo don want their tru identities to be known here ila sikuvunji moyo, mapenzi yanakuja yenyeweee hayakimbizwi they say "luv is lyk a butterfly stop chasing it, stand stil it wil come to u".