Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mwanaume ambae badae aje awe mume kama Mungu atatubariki. Awe na ajira, Mwenye hofu na Mungu na upendo. Mimi ni 30+ sina mtoto wala sijawahi kuolewa kwa mengine zaid please PM.. Kwa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
mm umri wangu ni miaka 22 naitaj mwanamke umri luanzia miaka 26 kuendelea ad 42: kama upo ni pm sifa dini mkristo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni msichana mwenye miaka 23 najishughulisha na biashara ndogondogo natafuta rafiki wa karibu wa kiume baadae mungu akipenda aje kuwa mume wangu Sifa *Awe ana umri kuanzia miaka 25...
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Habar zenu wana JF,natafuta girfriend nna miaka 21 nipo dar sifa za nimtakae umri kuanzia 18-25,alietayali anitafute kupitia 0657175051 au khaleedshaban@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Awe anaelewa thamani ya kupenda na kupendwa, awe na hofu ya mungu, ajue maana halisi ya maisha. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, asiwe mtumiaji wa kilevi chochote, awe na ngozi nyeupe au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
am bright npo moro twn nahitaji rafki wa kike just for a fun, aliye tayari please nicheki via, antonysauti@gmail.com or ni pm mainly awe mkazi wa moro na vitongoji vyake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike umri 20 to 26, wa kuchati tu, mambo mengine yatakuwa controlled na destin, just pm if you are interested
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Wapendwa nin miezi mitat sasa tangu nianza kaz mkoa wa kigoma my age 25, brown colour, long nose chaga by tribe kwa kwel npo so much lonely if thre is a lady out thare plz let we be friends...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naitwa idrisou , napatikana Moro ila zanzibar ndio nyumbani. Natafuta mpenzi wakike ali hali anipende nimpende maswala ya dini kabira sijari. Umri wangu 24. Bado mwanafunzi nasoma chuo Mzumbe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi mwanamke nina miaka 31, Natafuta mume wakunioa awe na miaka 33 Nakuendelea nina mtoto mmoja Nahitaji mkristo awe na kazi ya kueleweka , Ukiniona hauwezi kuamini mpaka nikuambie...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari wadau, Kwa muda wa kama miezi 3 nimefanya kazi bila kupumzika mpaka ilifika wakati nikaamini haitatokea na mimi nipate muda wa kupumzika.Hapa nilipo ijumaa ndo naanza mapumziko,naiona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji mume bora, je mume bora ana sifa zipi? Nahtaji mume bora!je mume bora ana sifa zp
1 Reactions
42 Replies
5K Views
1. Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 6.Awe mrefu wa futi 6. 7.Awe anajitambua kuwa yeye ni...
2 Reactions
107 Replies
12K Views
habarini za j2 ndg zangu, namshukuru mungu kwa ibada njema ya siku za leo!!! napenda kuwasalimu wote!! awali ya yote mie ni mgeni humu ila sio mbaya sana mwanzoni kabisa nikaeleza nini haswa...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Umri Wangu 23, Nambar 0717327554. Pia Waweza PM.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kijana wa umri 28 Nipo hapa kutafuta binti umri 20-27 for future life. Mimi ni muhitimu wa chuo na nimejiajili. Natafuta binti form six nakuendelea, mkristo na aliye serious. Kama upo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka mwanamke tutakae anza nae na mungu atujalie tufunge ndoa, Dini sio ishu Awe muelewa na Ajue nafasi yake kama mwanamke Umri usizidi miaka 25. Tafadhalini kwa wanawake tu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina miaka 37 na mtoto 1 wa kiume mkubwa ni mwajiriwa wa serikali na mkazi wa Dar. Mume kuanzia miaka 40+ Kwa mawasiliano tumia nuruwaheed@ymal.com
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiislam umri wangu ni miaka 29, Mrefu wa wastani, Rangi mweusi, Kabila msukuma.nina degree moja na nimeajiriwa serikalini. Sina mtoto wala mke.Naish dar. Sifa za mtu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom