Serious natafuta mchumba (mume) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serious natafuta mchumba (mume)

Discussion in 'Love Connect' started by madameA, Oct 22, 2012.

 1. m

  madameA JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi ni dada naishi na kufanya kazi Dar es Salaam, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu, mkweli, mwenye hofu ya mungu ambaye mwenye uhitaji kama wangu.

  Elimu yake iwe kuanzia degree na kuendelea, awe ameajiliwa/kujiajiri, mkristo, kabila yoyote. Akiwa hana mtoto itapendeza zaidi, akiwa naye mmoja sio mbaya.

  Akiwa anaishi DSM itapendeza zaidi.

  Wasifu wangu

  Umri : 32 yrs
  Elimu: Degree
  Kazi: Muajiliwa
  Dini: Christian (RC)
  Sijawahi kuolewa na sina mtoto.

  Niko very serious on this issue, hivyo nategemea kupata PM kutoka kwa ambaye yuko serious kama mimi. NO JOKES PLEASE.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Utapata tu, hongera kwa uamuzi wako nitaku pm baadae
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  utapata mwayego ila usiweke expectations kubwa kwenye "mkweli na mwaminifu" usijekuwa dissapointed.
   
 4. CHINOVA

  CHINOVA Senior Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
   
 5. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  God Almighty has listen to your voice and you will be granted with a trustful man, If you are real loyal woman you will get loyal man. Best wishes MadameA.
   
 6. RICARDO KAKA

  RICARDO KAKA JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 867
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ungeweka hata picha yako, ingekuwa vizuri! mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia sio issue aisee!vile weka mawasiano basi. mimi niko tayari kuwa wako!
   
 7. charger

  charger JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ila hapo uwe makini kwasababu kama mtihani umeshatoa majibu so don't na wasanii watakuja wameshajipanga! Kila laheri
   
 8. p

  peter daudi Senior Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Utampata tu. lakini kuwa open zaidi,vip kuhusu kabila?
   
 9. Crocozilla

  Crocozilla JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Tupia picha shoga nimwonyeshe kaka kwani ana uhitaji kama wako ila picha mhm
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ka huna mtoto, vp ushawahi kutoa mimba?

  Aliyekutosa huenda alikutosa kwasababu mimba zinachoropoka,, unamaoni gani katika hili?

  Naomba unijibu kabla sijaku-pm.
   
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Kuna ID zingine jinsi jina lilivyo zina reflect na comment zao maana dada amejitoa mhanga kutoa yaliyo moyoni wanakuja watu wanam-discourage na ukiangalia ID zao zinafanana na comment zao kabisa
   
 12. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Muombe Mungu dada yangu na hakika atakujaalia mwenye mvuto na pendo la dhati kwako.. Ila naomba nikueleweshe kutokuwa mwaminifu haimaanishi kwamba hupendwi.. Hiyo ni moja ya hasara ya mapokeo ya mfumo dume duniani.. Muhimu ni heshima.. kwamba akuheshimu kwanza kama mwanamke na pili kama mwandani na ubavu wake..
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye black napo neno..
   
 14. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha.. Unajua wanawake wengi wanadhani kwa vile mwanaume ametembea nje ati ndio hampendi..! La hasha wala haiko hivyo.. Mahaba wanakuwa nayo sana.. Sema ule mfumo dume uliorithiwa..
   
 15. m

  madameA JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thank U ALL for the contribution and moral support. I hope to get a man of my dream through JF.
   
 16. a

  amazon Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila la heri dada.. Utapata PM nyingi sana ila sio kila PM unayoipata huyo mtu yuko serious..! Inabidi ufanye upembuzi yakinifu.. Ninavyokuambia hivi nina ushahidi.!
   
 17. m

  madameA JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aksante kwa ushauri nitaufanyia kazi. Najua kwenye msafara wa MAMBA na KENGE hawakosekani.
   
 18. S

  Shangazi wa Taifa Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kipaumbele.
   
 19. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2014
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Vipi umeshampata?
   
 20. JONATHAN KAMWAVAH'S

  JONATHAN KAMWAVAH'S Senior Member

  #20
  May 30, 2014
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namiaka 28,mkristo,form six,mfanya biashara kama nafaa ni PM.
   
Loading...