Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari zenu wadau. Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu mimi ni kijana wa kiume naomba mpenzi aliye hapa dar ani PM tuelekee beach tukapate upepo natanguliza Asante
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamani natafuta rafiki wa kike lakini awe mwalimu shule msingi au sec ambaye baadaye tuweze kuishi pamoja as a family...sifa: awe mkristo, umri kati ya 18 -23, kabila yeyote,mrefu kidogo asiye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani mm nikijana nina umri wa miaka 28,nimechoka ishi pekeyangu,naombeni kuuliza je!pande hizi nisahii naweza pata mke
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Marafiki toka Dar wakushea mawazo yakimaisha 0763978461
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji mama mstarabu wa kuniridhisha na kunitoa upweke maana hali si nzuri. Awe anaishi dar. Aliyetayari anipm namba yake nimtafute.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30. Natafuta mchumba muislamu mwenye kujitambua umri usizidi 27 na usipungue 20. Akiwa mwalimu ni vizuri zaid. Kabila lolote. Ulie tayari ni pm.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta Girlfriend, Awe Na Umri Kat Ya Miaka 19 Had 25, Awe Ni Muuguzi Au Mwalimu Au Mwanafunzi Wa Chuo Wa Fani Hizo,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi huko munakopita hamuwaoni hao wachumba wenye sifa munazozitaka au vipofu? Shauri yenu wengine humu ni majini na wachawi wala sio watu. Mimi ninawaambia hivyo.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea. Anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari! Najitokeza hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye yupo serious tu, awe kanda ya ziwa, akiwa Mwanza itapendeza sana, awe Mwalimu au Nurse, akiwa mwalimu itapendeza zaidi, awe na umri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, sijawai kuoa wala sina mtoto. Nina urefu wa 5.4' and 60kgs, nakunywa pombe ila sivuti sigara. Nimtafutaye: 1. Awe amepevuka akili kwa maana kwamba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Huenda umewahi kuumizwa na wasiojua kupenda/kupendwa au hata kama siku zote umekuwa ukisubiri, nina imani kwa uzi huu ndoto yako itatimia. Sina masharti yoyote, kama umenielewa PM.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
why naachwa kila siku? et nishaurini
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hellow girlz!natafta rafiki wa kike awe anaishi dar.
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Natafuta marafiki wa kike wakubadilishana nao mawazo hasa ya kimaisha na mengineyo umri mwisho miaka 25 nitafute 0763978461,0656051715
0 Reactions
3 Replies
3K Views
habari zenu jf! Natafuta mpenzi wa kike ambaye nawezaishi nae hapo baadae kama mme na mke. wasifu wangu: 1-Nina miaka 19 2-elimu ya kidato cha nne Kwa sasa,ila nasubiri selection niendelee na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta mchumba Vigezo 1:awe na umri 20--25 2:awe mkristo 3:mweupe 4;yupo mkoa wa dar 5:ana kazi anajitegemea 6:asiwe na mtoto au kuzaa. 7:asiwe mwemba sana wala mnene san Me nina...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi ni kijana umri 28, mkristo, mtumishi wa serikali,uref Ft 5.4, Natafuta mchumba au mke mwenye sifa zifuatazo 1. Awe mcha mungu 2.Mwenye upendo wa dhati kwangu na ndugu zangu pamoja na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom