Karibu rafiki wa kike

Karibu rafiki wa kike

allina

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
76
Reaction score
13
Nipo Rungwe Mbeya..

Ni mrefu 5.6ft,

Majiakunde,

Mwembamba,

Umri28,

Mwiislam(sitoweza badili),

Mhehe,

Elimu shahada1 ya elimu..

MWENZANGU AWE.

Umri 22-25,

Urefu kiasi,

Japo majiakunde,

Kuanzia kidato cha nne-shahada1.

Tabia njema bila kujali kabila,

Mwenyekujiheshimu.AWE RAFIKI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom