Jamani nadhani lengo langu halijafanikiwa, kila nkitafuta mchumba wanao kuja ni over 23. Sasa ntakuoa au utakula hela zangu tu, mimi niko na 21 bwana sitaki over mimi hapo.
Asanteni 0687270030
habari wana jamvi.
mm ni mvulana miaka 25. nina elimu ya chuo kikuu.natafuta mchumba wa kike ambaye tukiridhiana awe mke wangu hapo baadae.
Sifa za mtu ninaye mhitaji.
1.awe angalau na elimu ya...
Habari za kazi waungwana naitwa Mahmoud Ismail kwa sasa nipo mjini Arusha lakini makazi yangu ni Shinyanga. Natafuta mchumba awe Muislam 18-22.
Awe na kazi ,asiwe na kazi sawa tu, sababu mimi...
Habari za wkend wana jf,Niliyekuwa namtarajia bado yupo mkoani na kanibore sana na sihitaji tena kuwa nae,nikiipogia cm working days mara npo busy,mida ya jioni mara nmechoka,wk ends mara mara...
Waungwana ndani ya JF..
Umri unaenda nahitaji sasa kuoa cz ninakaribia maiaka 30....
Natafuta mke wa kuoa ila awe anafanya kazi "Access Bank" customer care service department!!!!! Kwa wale...
Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015
Jukumu:
Kuniliwaza
Sifa:
1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35.
2. Awe na elimu inayomsaidia...
siku chache zilizopita niliona post ya mdada mmoja hivi anatafuta mchumba na kwakuwa na mie nipo single na ninatafuta mtu wa kuishi nae niliamua kuanza kumfuatilka kwa ku mp na kupeana no za...
aise natafuta mrembo wa miaka 17-19 tuwe marafiki, baadae wachumba na kama vp tuwe 1 thing on next tym, nina miaka 19, kazi(kapuni), cpendi mchunaji, ukiniomba pesa nakuadd black list, nichek...
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji...
Natumaini hamujambo mabibi na mabwana so nilikuwa natafuta rafiki wa kike mwenye age 21 anaejielewa maana wengi wao wamekuwa hawajielewi na kuwa na tamaa ya vitu fulani ila kama unae mpenzi wako...
Habari, Naitwa Erick ! naomba kama kuna mdada yoyote aliye tayari kuingia katika serious relation ani PM
Maeleza yangu binafsi na Mengineyo tutaelezana Inbox kwa walio serious na kujitambua tu...
Naitwa tinoh, age 28 natafuta mwanamke ambaye atakae kuwa mke wangu, nina degree ila mwanamke ninaitaji ni mwenye elimu yoyote ile ilimradi awe na mapenzi ya kweli, just call or text me direct my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.