Nataka kuoa, nina miaka 32, natafuta mtu wa kusaidiana naye maisha. Nina watoto 4, mmoja wakiume wa 3 nilizaa nikiwa chuo tena field, huyo mwingine kazaliwa ana mwaka sasa, ila hao niliozaa nao wameolewa, ila mmoja bado, familia na mimi pia siwezi kuishi na huyu aliyebaki.
Nahitaji mwanamke serious wa kufanya maisha, asiyetaka kuzaa tena, nina elimu nzuri tu, pia nafanya kazi kampuni binafsi.
Kama upo serious inbox.
Nahitaji mwanamke serious wa kufanya maisha, asiyetaka kuzaa tena, nina elimu nzuri tu, pia nafanya kazi kampuni binafsi.
Kama upo serious inbox.