Habari wana MMU?
Nina umri wa miaka 25, nina urefu wa futi 6, rangi maji ya kunde, dini yangu mkristo.
Ninayemuhitaji, awe MWANAMKE mwenye kimo kama au kinachokaribiana na changu (yaani azidi au apungue kidogo), awe mkristo, asiwe mlevi, zaidi ya yote awe mcha mungu.
anayetafuta kama mimi ani pm ili tuwasiliane zaidi kwa ajili ya kufahamiana zaidi.
Nawasilisha.