Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Awe msichana umri 18-24 urefu siangalii umbo asiwe modo mwenye sifa aje pm ni hayo tu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitwa J, umri wangu ni miaka31, naishi Dar, elimu shahada ya kwanza, dini Mkristu, situmii kilevi chochote, nimtakae awe na umri 25-36, awe mweupe, elimu kidato cha nne mpaka shahada...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Natafuta mume wa kunioa, awe mkristo Elimu: Diploma na kuendelea Kazi: Awe na shuguli yoyote halali ya kumuingizia kipato, Mwonekano: Asiwe mfupi sana na asiwe mnene sana. Sehemu: Awe anaishi Dar...
3 Reactions
82 Replies
12K Views
Naomba mwanamke yyt mwenye kutaka urafiki nami si kuoana unri kuanzia 30 hadi 46 ajitokeze zaidi tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau karibuni wanaokizi kigezo hicho karibuni
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Hello Girl. Poleni na kazi ndugu zangu' mimi naamini mke uliyepangiwa na Mungu unaweza kutana naye popote. Naomba mdada yoyote aliye single au hata kama upo katika mahusiano yasiyo seriously...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
habari wana JF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36,nina mtoto mmoja wa miaka 6 natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mke wangu.Mimi ni mfanyabiashara nina kipato cha kawaida kuendesha maisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi nikijana wa kitanzania naishi DAR ES SALAAM najitokeza kutafuta Girlfriend atakae kuwa mke wangu ikibidi. plz aliye tayari naomba tuwasiliane niko serious sitanii . SIFA ZANGU UMRI: MIAKA...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Dini awe Muislam,umri usiozidi miaka 23,kama mkristu awe tayari kubadili. Awe tayari kwa ndoa wakati wowote pindi tutakapo ridhiana, Mm ni mtumishi serikalini,na nipo kanda ya ziwa,kwa aliye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Awe mweupe,asiwe na makuu,Nina Mali nyingi na hela za kumtunza,ila siku tukikosa asiwe na lawama nyingi.ni hayo tu.ni pm tufanye maisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu wote mu wazima!!! Nimejitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike wa kuchart nae, ila 1. Awe free asiwe controlled girl 2. umri wowote ila asizidi 23, ninaamini 24 nakuendelea...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Mi ni mwanaume nina watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume nina miaka 42 ninaishi mwanza natafuta rafiki hasa wa kike kati ya miaka 35 na 40.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
natafuta msichana aliye serious tuanzishe urafiki ikimpendeza Mungu tuende katika upande wa pili we maisha, awe mchaji na mwenye hofu ya Mungu pia awe anayejitambua.. umri usizidi miaka 27 pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa Jeff, nahitaji manzi. My WhatsApp 0683368616
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Specifications; Miaka 27 nachini yahapo, awe nakazi serikalini (yoyote), mrefu na mweupe au maji yakunde mimi nafanya kazi serikali nanimwaminifu. Mdada mwenye sifa hizo nayuko serious nandoa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi ni kijana aged 33 natafuta Mwanamke asiye na mume aged 37-40 asiwetegemezi tusikatishane tamaa mpaka nikaamua hivi nimejifunza mengi nipo Mwanza kwa Wanawake waliosonga umri. Karibuni sana.
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali Mimi na shahada ya PHD na...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Miaka kuanzia 30 Awe muislam Awe anajua kusoma quran Aliye serious anipm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza; mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini. ninatafuta...
1 Reactions
90 Replies
8K Views
Wasalam! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, umri 18-25 Kwa maelezo zaidi pm
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom