Natafuta mwanamke wa kuoa

mmp

Member
Sep 10, 2014
33
2
Naitwa J, umri wangu ni miaka31, naishi Dar, elimu shahada ya kwanza, dini Mkristu, situmii kilevi chochote, nimtakae awe na umri 25-36, awe mweupe, elimu kidato cha nne mpaka shahada.

Tuwasiliane kwa 0689899165.

Nahitimisha, asanteni
 
weupe wapo wengi sana siku hizi hata wale weusi tiii wa zaman kwa sasa ni weupe pee! Nadhan kuhusu hilo shaka ondoa utapata tu tena wengine weusi tii baada ya kusoma tangazo lako hapo watakutafuta keshokutwa wakiwa weupe peeee! Kazi kwako.
 
Hautumii vipi kilevi sasa na wakati huo huo unakitaka hiko kilevi?

Mfano wa weupe ni km rim paper A4?

BTW, wasubiri kidogo misa bado inaendelea ila sio kwa uandishi huu wa shahada za eagle mabawaz collage.[/QUOTE
Teh teh teh....Mkuu umenifurahisha sana
 
Duh.kwani Siku hizi ndoa ni kama ku apply kazi?
my brother if u failed to get someone from your sorrounding/connections,something is not right with you.there are thin chances you will get one here.
Summon the courage to approach that lady with MOST but not ALL quality you want.
 
Kama kweli upo serious huwezi kupata JF ambapo hata avatar zetu za kufoji hivyo tegemea kuumizwa tu. USHAURI, embu nenda kwenye nyumba za ibada angalua mshirikishe Mungu utampata mke mwema. Na kama ni mwoga wa kutongoza embu ni PM nikupe maujanja basi.
 
Naitwa J, umri wangu ni miaka31, naishi Dar, elimu shahada ya kwanza, dini Mkristu, situmii kilevi chochote, nimtakae awe na umri 25-36, awe mweupe, elimu kidato cha nne mpaka shahada.

Tuwasiliane kwa 0689899165.

Nahitimisha, asanteni
mkuu wanawake mbona wapo wengi hv? tatizo nn hadi huku? any way kila la kheri
 
Akina dada wanafursa nyingi sana!, wanakuogopa ukishaweka ndani utaanza kumwambia peleka maji bafuni, mara ninyoshee hii, niwashie moto nasikia baridi, pika tena mm sijashiba etc wanaogopa hawatapata mda wa kuwa huru kufanya lolote/chochote. very aged woman utawapata kwa urahisi, ila kuhusu wanawake wa saizi yako hutawapata a.k.a sahau babuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom