Natafuta mchumba wa kike Muislam,mwnye kumcha Allah na mwenye maadili mema.
Umri 18-22 mwenye kuajiriwa au aliejiajiri,nipo serious na nahitaji mtu aliye serious pia,mimi ni mtumishi serikalini na...
Habari wadau wa JF mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30,natafuta mchumba ambaye atakuwa mama watoto wangu,kiwango changu cha elimu ni Degree.
Mchumba/Mwanamke ninae muhitaji awe na sifa zifuatavyo...
Habar
Mimi ni kjana mwenye umr wa miaka 25..
Pia ni mwajiriwa wa serikalin ni mwalim shule ya msing ambaye nimeanza kaz mwaka 2014
Natafuta mchumba mwenye sifa zifyatazo;
1;Awe muislam
2; umr...
Mimi ni msichana,
Nina miaka 27, mkristo(RC),
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni Dar es Salaam
Elimu- Diploma ya Finance
Nina mtoto mmoja
Sifa:
Awe na...
Mwanamke mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI namuhitaji ili tuishi maisha ya matumaini napenda awe mtu mzima kwakuwa mimi pia ni mtu mzima naomba
tuwasiliane kwa 0658 511 714...
Hi wanaboard.
Hope mnaendelea vyema.Japo ni gumu kuleta ombi hili mbele ya JF lakini wacha nilitoe.
Natafuta Mke wa Pili wa Kuoa ili niweze kutimiza maamrisho ya Imani yangu ya uadilifu.
(Quran...
Nahitaji mke so nimeamua kutafuta mchumba atakae kuja kwa my wife,sihitaji mwanafunzi wa sekondari,kama wa chuo poa,awe anajua majukumu yake,unaweza kunipata pia kwa namba...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa Neema ya uhai na afya.
Pili napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.
Tatu nawashukuru wadau wote wa...
Mrejesho
Hhr wadau WA jukwaa hili?
Napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru nyote kwa michango yenu na mawazo yenu.
Pia nawashukuru wote mliyekuja pm, isingewezekana kuwapa nafasi wote kwakuwa...
Kichwa cha habari chahusika hapo juu..
> Kama upo lonely
> Frustated
> Hopless
> You need company
> And unconditional care
Plzzz pm me now...I wil respond on time!
Vigezo na masharti kuzingatiwa
mie ni bint wa miaka 25 ni h.i.v possitive din mkristo , mwajiliwa katik kampuni fulani hv, ni mrefu ,rangi maji ya kunde....
kwa mwanaumw aliyetayar tuyajenge maisha kwa kufarijian na upendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.