Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 , natafuta rafiki wa kike ambae tukikubaliana na kuelewana tutaanzisha familia .awe na elimu yoyote,kabila lolote,rangi yoyote ila awe msafi tu.
Wazazi wangu walifariki kipindi kitefu kilichopita, kutokana na changamoto za maisha ya kila siku kuna kipindi nahitaji mawazo ya wakubwa na kufarijiwa kama mtoto kwa wazazi.
Naishi kwa...
Wadau,
Mimi natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 hata kama ana mtoto/watoto sawa tu tuanzishe mahusiano maana naona hawa wasichana wadogo wananisumbua tu bado hawajamaliza usichana. e-mail yangu...
Habari JF!
Kwanza kabisa heshima iwe kwenu! Mimi nimekuwa ni mtu wa kuumizwa sana na mapenzi! Kila mtu nae kuwa nae mara nyingi huwa najikuta nimempenda sana sana! Halafu mwisho wa siku huishia...
Morning JF,
Mimi ni binti natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavyomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama...
Morning jf,
Mimi ni bint natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama mzazi...
Am 29 years old with honest and bachelor degree+ CPA am working in a good company as Financial Accountant in really am looking a commitment girly who will show commitment to me and create a...
Rejea kichwa cha post hapo juu,
Ila awe anaishi sehemu moja kati ya hizi kwa sasa Dodoma, Morogoro na Dar au katikati ya maeneo tajwa,kama ni muislamu basi akubali kuwa mristo baadae,tabia njema...
Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya Virusi vya ukimwi,umri wangu ni miaka 47 tuwasiliane kwa email ifuatayo sekenemboh@gmail.com au tuma sms ktk namba 0715 33 85 27 ahsante!!
Habari wana jukwaa,
Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa...
Habari wana jf wenzangu wakibwa na wasalim agemate mambo vipi, leo nimeona nilete uzi mwingine huku! Mimi nauliza je hawa wanaotafuta wachumba, wapenzi, madem pamoja na marafiki hivi mnawapata...
Wasalaam......
Mimi mwanaume mwenye umri wa miaka thelathini (30) nimejiajiri na pia ni mhitimu wa shahada ya kwanza,
lakini hapa naomba kwa aliye tayari yaan mwanamke wa umri wowote ..ana...
Kwa mdada yeyote aliyejitunza mpaka kufikia umri Wa miaka 23- 26 nampa zawadi ya ndoa bila kujali mrefu, mwembamba, mweupe, mweusi hata kabila haijalishi.
Awe mjasiriamali au kama ana elimu awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.