Natafuta rafiki

Fabulous

Member
Oct 3, 2011
55
7
Mi ni mwanaume nina watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume nina miaka 42 ninaishi mwanza natafuta rafiki hasa wa kike kati ya miaka 35 na 40.
 
Rafiki anatafutwa jamani fursa hyoooo......Utamlipa au urafiki wenu kwa gharama za nani?
 
Kuwa pamoja tu kula good time, anaweza kuwa na watoto pia ila wasizidi wawili tubalance
 
Kuwa pamoja tu kula good time, anaweza kuwa na watoto pia ila wasizidi wawili tubalance
hujaeleweka unachotafta kwa umr huo.unaposema rafiki au hawara?ikiwa ni rafiki tena huo kubalans watoto kunahusika nini na urafiki wenu?wew funguka unahitaji mke au hawara ueleweke na maelezo alipo mama wa hao watoto.utawapata wamama walioachwa au kufiwa wapo weng sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom